Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mudawote rafiki mwema kwenye hili sina upande na kwa kweli nakuambia SIJAWAHI kumtakia kifo mtu...bali ilikuwa ni maombi ya wengi kumtaka Mungu amchukueMshana Jr niambie upo upande gani? Mi najua wewe ni mmoja wa Watanzania mliokuwa mnataka Dkt Magufuli afe ili aje rais mwingine. Ila hoja unayo tena kubwa sana. Nenda kwenye hizo shule au vituo vya afya, nenda huko vyuoni wanakofundishwa hao ma tabibu au waalimu, yaani ni ovyo mno. Nadhani taifa hili kwa sehemu kubwa viongozi wake wamejaa ubinafsi sana hawajali wala kuona mambo muhimu. Uarabuni walichotushinda ni uamuzi wao wa kuimarisha rasilimali watu.
Ila hakika ulichoandika ni ukweli mtupu, yaani natamani Mama Samia ausome huo ujumbe halafu arudi nyuma kuanza kufikiria namna ya kufanya. Ingawa inaweza kuwa ngumu kwa sababu mfumo wetu wa maamuzi umejengwa ktk misingi ya uongo uongo, yaani 90% ya watanzania ni waongo, tena kwa viongozi wanaomzunguka Mama 99% ni waongo waongo. Kwa mantiki hiyo mazingira yetu ni magumu, leo Mama asipofanya kitu cha kuonekana watanzania hawa hawa waongo waongo watamuambia hajafanya kitu. Nadhani nchi yetu inahitaji generation nyingine kufanya mabadiliko na si kwa hiki kizazi cha sasa.Mudawote rafiki mwema kwenye hili sina upande na kwa kweli nakuambia SIJAWAHI kumtakia kifo mtu...bali ilikuwa ni maombi ya wengi kumtaka Mungu amchukue
Asante sana kwa hili.. Natamani wachambuzi wa hii tour wawe na mjadala huru bila kuegama kwenye siasa bali kutaegama kwenye hizi siasa zetu bali utaifa wetu kwanza.. Kutanguliza maslahi ya taifa kwanza na sio itikadi zetuIla hakika ulichoandika ni ukweli mtupu, yaani natamani Mama Samia ausome huo ujumbe halafu arudi nyuma kuanza kufikiria namna ya kufanya. Ingawa inaweza kuwa ngumu kwa sababu mfumo wetu wa maamuzi umejengwa ktk misingi ya uongo uongo, yaani 90% ya watanzania ni waongo, tena kwa viongozi wanaomzunguka Mama 99% ni waongo waongo. Kwa mantiki hiyo mazingira yetu ni magumu, leo Mama asipofanya kitu cha kuonekana watanzania hawa hawa waongo waongo watamuambia hajafanya kitu. Nadhani nchi yetu inahitaji generation nyingine kufanya mabadiliko na si kwa hiki kizazi cha sasa.
Tuonyeshe Till namba yako kwanzaTupewe budget ya Loyo Tua
Madelu mzee wa dili alikuwepoIpo siku huyo mfadhili wa Royal Tour atafahamika tu pamoja naalengo yake.
Wataendelea kutuficha laki watanzania tutajua tu.
Mpaka sasa bado hatujapewa taarifa ni watu wangapi wamefuatilia uzinduzi huo online.
Watu wangapi wamenunua filamu Amazon.
Ni watu wangapi mpaka sasa wamefanya booking ya kuja kutembelea.
Tuambiwe hayo tukilinganisha na figures za miaka iliyopita.
Kinachoendelea ni kusifiana tu kutuambia hiyo movie imetupa faida gani mpaka sasa.
Na kuondoa msururu wa tozo [emoji1545][emoji1545]Very good observations Mshana Jr, pia issue nyingine ya kuangalia pamoja na ulizozitaja ni comparative parks entry fees za Tanzania Vs competitors wetu, ni muhimu sana vinginevyo malengo mazuri yaliyowekwa hayawezi kufikiwa
Akizungumza baada ya kurejea Nchini Tanzania kutoka Marekani, amesema Watanzania wategemee matunda kutoka Filamu ya TheRoyalTour na Nchi ijitayarishe kupokea wageni wengiHaikutumia fedha za nchini mwenu!
Akizungumza baada ya kurejea Nchini Tanzania kutoka Marekani, amesema Watanzania wategemee matunda kutoka Filamu ya TheRoyalTour na Nchi ijitayarishe kupokea wageni wengiIpo siku huyo mfadhili wa Royal Tour atafahamika tu pamoja naalengo yake.
Wataendelea kutuficha laki watanzania tutajua tu.
Mpaka sasa bado hatujapewa taarifa ni watu wangapi wamefuatilia uzinduzi huo online.
Watu wangapi wamenunua filamu Amazon.
Ni watu wangapi mpaka sasa wamefanya booking ya kuja kutembelea.
Tuambiwe hayo tukilinganisha na figures za miaka iliyopita.
Kinachoendelea ni kusifiana tu kutuambia hiyo movie imetupa faida gani mpaka sasa.
Kwa hiki kizazi Mshana Jr ni vigumu sana. Yaani wachambuzi wengi they’re eyeing for appointment na kuogopa kusulubiwa na vyombo vya ulinzi na usalama. Jana nimemsikiliza Dr Slaa kwenye Clubhouse hakika huyu mzee ni hazina kubwa mno kwa taifa na Mbowe alimu abuse sana. Watu tungekuwa na utamaduni kama wa Dkt Slaa nakuhakikishia tungekuwa na mijadala yenye manufaa. Ila kwa sasa unakuta mchambuzi hata hajafanya hata ka utafiti kidogo kuhusu hoja husika anachokifanya ni kutumia hisia zake. Mfano mmoja Dkt Slaa alisema yeye alitoa kitabu miaka kazaa juu ya maisha yake na siasa na moja ya jambo alilolieleza mule ni Mbowe kuhusika na kuteka watu ili serikali ya Dkt JK enzi zile isingiziwe, ila washiriki wengi hawajawahi kusoma kile kitabu na matokeo yake walikuwa wanambishia Dkt Slaa na kutoa maneno ya kukatisha tamaa na kujiona wao ndiyo eti wapo sahihi. Kwa ujumla watanzania ni waumini wa uongo unao fariji, yaani ni waumini wa siasa. Yaani unakuta CCM wanajiona wao wapo sahihi zaidi na hoja zao ndiyo muhimu na za wapinzani hazifai au unakuta kikundi cha Mbowe kinajiona chenyewe ndicho chenye mawazo mazuri ya siasa za Tanzania kuliko kikundi chochote.Asante sana kwa hili.. Natamani wachambuzi wa hii tour wawe na mjadala huru bila kuegama kwenye siasa bali kutaegama kwenye hizi siasa zetu bali utaifa wetu kwanza.. Kutanguliza maslahi ya taifa kwanza na sio itikadi zetu
Kwenye madini, vito, gesi na uvuvi wa bahari kuu tusijisumbue .. Tumeshaliwa.. Sio vyetu tena...[emoji25][emoji29][emoji26][emoji29]Tanzania pia inahitaji filamu nyingine nyeti kabisa inayohusu #FURSA zilizopo Tanzania,maeneo ya kilimo, madini yalipo,aina za madini zilizopo,ya metali na Vito uvuvi na nk.
Kwa ukubwa wa bahari tuliyonayo kitoweo cha Samaki kilipaswa kuwa kingi kwa bei ndogo kabisa.
Hao wafanyabiashara watarudishaje mapesa yao maana sitaki kuamini kuwa wamefanya bure.Akizungumza baada ya kurejea Nchini Tanzania kutoka Marekani, amesema Watanzania wategemee matunda kutoka Filamu ya TheRoyalTour na Nchi ijitayarishe kupokea wageni wengi
Amesema Fedha za kutengeneza Filamu hiyo zimetokana na michango ya Wafanyabiashara mbalimbali Ndani na Nje ya sekta ya Utalii[emoji15][emoji3064][emoji848][emoji2827]
zingatia neno WAFANYABIASHARA ndio waliofadhili
Ikiisha itwa biashara ina lengo moja tuu FAIDA kwenye fursa yoyote inayojitokeza..! Nikichangia B1 nimeshaona fursa ya kurudisha as twice as much .. Biashara sio huduma ya kiroho[emoji848][emoji2827]Hao wafanyabiashara watarudishaje mapesa yao maana sitaki kuamini kuwa wamefanya bure.
Ningependa kupata nakala ya kitabu cha Dr. Slaa .. Sitachangia kitu kwenye hizo tuhuma mpaka nikisome hicho kitabu ambacho nadhani hakijasomwa na wengi.. Je ana online soft copy?Kwa hiki kizazi Mshana Jr ni vigumu sana. Yaani wachambuzi wengi they’re eyeing for appointment na kuogopa kusulubiwa na vyombo vya ulinzi na usalama. Jana nimemsikiliza Dr Slaa kwenye Clubhouse hakika huyu mzee ni hazina kubwa mno kwa taifa na Mbowe alimu abuse sana. Watu tungekuwa na utamaduni kama wa Dkt Slaa nakuhakikishia tungekuwa na mijadala yenye manufaa. Ila kwa sasa unakuta mchambuzi hata hajafanya hata ka utafiti kidogo kuhusu hoja husika anachokifanya ni kutumia hisia zake. Mfano mmoja Dkt Slaa alisema yeye alitoa kitabu miaka kazaa juu ya maisha yake na siasa na moja ya jambo alilolieleza mule ni Mbowe kuhusika na kuteka watu ili serikali ya Dkt JK enzi zile isingiziwe, ila washiriki wengi hawajawahi kusoma kile kitabu na matokeo yake walikuwa wanambishia Dkt Slaa na kutoa maneno ya kukatisha tamaa na kujiona wao ndiyo eti wapo sahihi. Kwa ujumla watanzania ni waumini wa uongo unao fariji, yaani ni waumini wa siasa. Yaani unakuta CCM wanajiona wao wapo sahihi zaidi na hoja zao ndiyo muhimu na za wapinzani hazifai au unakuta kikundi cha Mbowe kinajiona chenyewe ndicho chenye mawazo mazuri ya siasa za Tanzania kuliko kikundi chochote.
Tumeshaona madhara ya Rais kuwa karibu sana na wafanya biashara . Hatujajifunza.Ikiisha itwa biashara ina lengo moja tuu FAIDA kwenye fursa yoyote inayojitokeza..! Nikichangia B1 nimeshaona fursa ya kurudisha as twice as much .. Biashara sio huduma ya kiroho[emoji848][emoji2827]