Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Mimi nawashauri mjikite kujua nia ya hao wachangiaji...[emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15]View attachment 2204471
Amesema Fedha za kutengeneza Filamu hiyo zimetokana na michango ya Wafanyabiashara mbalimbali Ndani na Nje ya sekta ya Utalii iliyoanguka kidogo kutokana na mlipuko wa COVID19
Anayway, kuna ndugu zetu wanaondolewa kwenye makazi yao kupisha uhifadhi. Wanakopelekwa wanapewa viwanja na kujengewa nyumba.
Ile bajeti pia tuulize ni ya nani, kwa faida ya nani, ili iwe nini? mbona ghafla sana?