Royal Tour ni kichocheo tu, mamlaka zisijisahau

Ikiisha itwa biashara ina lengo moja tuu FAIDA kwenye fursa yoyote inayojitokeza..! Nikichangia B1 nimeshaona fursa ya kurudisha as twice as much .. Biashara sio huduma ya kiroho[emoji848][emoji2827]
Hata baadhi ya Huduma za kiroho ni biashara...!
 
Ni mwezi wa royal tour...( jina haliakisi Utanzania)... Bado tuna safari ndefu kujinasua kwenye makucha ya mabeberu.. Lakini hili si hoja yangu kwa leo..

Wabongo tuna tatizo sugu..na lazima tuliseme hapa wazi..na hili ni tatizo mpaka kwenye mamlaka zetu.. Rasilimali watu hatuipi kipeumbele hata siku moja..mbinu za kibiashara na huduma bora nalo ni tatizo kubwa sana..

Tunaamini katika majengo na vitu vya kuonekana kwa macho..
Tunaamini katika kununua madege mengi kisha tunaishia hapo mengine yataji sort yenyewe
Tunaamini katika takwimu za kujenga madarasa mengi bila kusema chochote kwa walimu na vifaa vya kufundishia
Tunaamini katika takwimu za kujenga vituo vya afya vingi lakini bila watalam wa kuvisimamia na vifaa tiba..

Hili tatizo naona nalo linajitokeza kwenye royal tour..! Wachambuzi kila kona wanaongea siasa na vitu vya kufikirika.. Wanaongea kuhusu watalii milioni 2.5 warakaokuja kwa sababu tu wameona filamu ya royal tour

Sijaona hata mmoja akizungumzia sasa maandalizi muhimu ya kuwapokea kuwahudumia tangu wanapoingia mpaka wanapoondoka ili yasitokee mashetani yakaharibu nia njema..

Hawazungumzii hotel nzuri na za bei stahimilivu
Hawazungumzii changamoto na uswahili wa airport zetu
Hawazungumzii ubabaishaji kwenye huduma mbali mbali kuanzia usafiri wa ndani wawapo nchini, usafiri wa ndege zetu, huduma za vyakula, vinywaji na malazi
Hawazungumzii tatizo la rushwa kwenye mamlaka zetu na hata watu wa kawaida
Hawazungumzii customer care ya viwango vya wageni nknk

Kinachoendelea mitandaoni ni majisifu, kusifiasifia tu na siasa nyingi as if hiyo filamu itafanya yote hayo in automation mode..! Maandalizi yasipokuwa mazuri watalii watakaokuja mwaka huu baada ya kuona filamu ya royal tour Wa naweza kuwa wa mwisho..!

Tusiwaige hawa wafanyabiashara wetu wanajenga bar nzuri, ama hotel nzuri ama sehemu ya vyakula nzuri kabisa.. Lakini anakuja kuajiri cheap labour isiyofahamu chochote kuhusu customer care..! Yaani badala ya kumuona mteja ni mfalme yeye ndio anataka kuonwa ni malkia

Kuna vita ya kibiashara hapo hasa na majirani zetu.. Je tumejipangaje kwa hilo? Lazima kuna wachafuzi watataka kuharibu.. Je tuna maandalizi yoyote? Tuache siasa tufanye kazi

La mwisho ni hili la tetesi zisizothibitishwa kwamba mfadhili wa royal tour hawekwi wazi.. Ni kwanini inakuwa hivyo? Maana kila kiongozi anaongea lake ... Tusianze kuharibu mapema.. Hii ikiingia kwenye hisia za kashfa...Tutaharibu mengi.. Tutaharibu mapema

Viva tour du royale!
1. Customer care
2. Ushindani na majirani zetu
3.Muwekezaji (Asiyejulikana)
4.Peter Greenberg? Ametubeba mabegani mwake, hatukuwa na wazawa ambao wangeweza kuwasilisha dhima nzima ya Royal Tour ?

Rangi nyeusi bado ni ishara mbaya, Rangi nyeupe inaashiria nuru.
 
Ila hakika ulichoandika ni ukweli mtupu, yaani natamani Mama Samia ausome huo ujumbe halafu arudi nyuma kuanza kufikiria namna ya kufanya. Ingawa inaweza kuwa ngumu kwa sababu mfumo wetu wa maamuzi umejengwa ktk misingi ya uongo uongo, yaani 90% ya watanzania ni waongo, tena kwa viongozi wanaomzunguka Mama 99% ni waongo waongo. Kwa mantiki hiyo mazingira yetu ni magumu, leo Mama asipofanya kitu cha kuonekana watanzania hawa hawa waongo waongo watamuambia hajafanya kitu. Nadhani nchi yetu inahitaji generation nyingine kufanya mabadiliko na si kwa hiki kizazi cha sasa.
Na generation inajengwa kwa kipindi cha miaka 20, hilo silioni likitokea. Tutaendelea kuisoma namba!
 
Mafanikio!?[emoji848][emoji2827]
Screenshot_20220428-185213.jpg
 
Ni mwezi wa royal tour...( jina haliakisi Utanzania)... Bado tuna safari ndefu kujinasua kwenye makucha ya mabeberu.. Lakini hili si hoja yangu kwa leo..

Wabongo tuna tatizo sugu..na lazima tuliseme hapa wazi..na hili ni tatizo mpaka kwenye mamlaka zetu.. Rasilimali watu hatuipi kipeumbele hata siku moja..mbinu za kibiashara na huduma bora nalo ni tatizo kubwa sana..

Tunaamini katika majengo na vitu vya kuonekana kwa macho..
Tunaamini katika kununua madege mengi kisha tunaishia hapo mengine yataji sort yenyewe
Tunaamini katika takwimu za kujenga madarasa mengi bila kusema chochote kwa walimu na vifaa vya kufundishia
Tunaamini katika takwimu za kujenga vituo vya afya vingi lakini bila watalam wa kuvisimamia na vifaa tiba..

Hili tatizo naona nalo linajitokeza kwenye royal tour..! Wachambuzi kila kona wanaongea siasa na vitu vya kufikirika.. Wanaongea kuhusu watalii milioni 2.5 warakaokuja kwa sababu tu wameona filamu ya royal tour

Sijaona hata mmoja akizungumzia sasa maandalizi muhimu ya kuwapokea kuwahudumia tangu wanapoingia mpaka wanapoondoka ili yasitokee mashetani yakaharibu nia njema..

Hawazungumzii hotel nzuri na za bei stahimilivu
Hawazungumzii changamoto na uswahili wa airport zetu
Hawazungumzii ubabaishaji kwenye huduma mbali mbali kuanzia usafiri wa ndani wawapo nchini, usafiri wa ndege zetu, huduma za vyakula, vinywaji na malazi
Hawazungumzii tatizo la rushwa kwenye mamlaka zetu na hata watu wa kawaida
Hawazungumzii customer care ya viwango vya wageni nknk

Kinachoendelea mitandaoni ni majisifu, kusifiasifia tu na siasa nyingi as if hiyo filamu itafanya yote hayo in automation mode..! Maandalizi yasipokuwa mazuri watalii watakaokuja mwaka huu baada ya kuona filamu ya royal tour Wa naweza kuwa wa mwisho..!

Tusiwaige hawa wafanyabiashara wetu wanajenga bar nzuri, ama hotel nzuri ama sehemu ya vyakula nzuri kabisa.. Lakini anakuja kuajiri cheap labour isiyofahamu chochote kuhusu customer care..! Yaani badala ya kumuona mteja ni mfalme yeye ndio anataka kuonwa ni malkia

Kuna vita ya kibiashara hapo hasa na majirani zetu.. Je tumejipangaje kwa hilo? Lazima kuna wachafuzi watataka kuharibu.. Je tuna maandalizi yoyote? Tuache siasa tufanye kazi

La mwisho ni hili la tetesi zisizothibitishwa kwamba mfadhili wa royal tour hawekwi wazi.. Ni kwanini inakuwa hivyo? Maana kila kiongozi anaongea lake ... Tusianze kuharibu mapema.. Hii ikiingia kwenye hisia za kashfa...Tutaharibu mengi.. Tutaharibu mapema

Viva tour du royale!
Nikiangalia yanayoendelea, najisikia vibaya sana. Nakumbuka kitabu cha Baba wa Taifa cha Uongozi na Hatma ya Taifa letu. Hivi nini kinaendelea sasa hivi? Kwa hizi mbwembwe ndio tunajenga nchi?
 
Mshana Jr niambie upo upande gani? Mi najua wewe ni mmoja wa Watanzania mliokuwa mnataka Dkt Magufuli afe ili aje rais mwingine. Ila hoja unayo tena kubwa sana. Nenda kwenye hizo shule au vituo vya afya, nenda huko vyuoni wanakofundishwa hao ma tabibu au waalimu, yaani ni ovyo mno. Nadhani taifa hili kwa sehemu kubwa viongozi wake wamejaa ubinafsi sana hawajali wala kuona mambo muhimu. Uarabuni walichotushinda ni uamuzi wao wa kuimarisha rasilimali watu.
Uongozi umejaa waongo, uongo na upigaji? Ndio sifa za kuwa kiongozi? Nini hiki kinachoendelea? Tutakimaje tukifananisha na gharama za kufanya?
 
La mwisho ni hili la tetesi zisizothibitishwa kwamba mfadhili wa royal tour hawekwi wazi.. Ni kwanini inakuwa hivyo? Maana kila kiongozi anaongea lake ... Tusianze kuharibu mapema.. Hii ikiingia kwenye hisia za kashfa...Tutaharibu mengi.. Tutaharibu mapema
Hao sasa ndio CCM, yote ni majizi tu na maongo mwanzo mwisho
 
Nikiangalia yanayoendelea, najisikia vibaya sana. Nakumbuka kitabu cha Baba wa Taifa cha Uongozi na Hatma ya Taifa letu. Hivi nini kinaendelea sasa hivi? Kwa hizi mbwembwe ndio tunajenga nchi?
Kuna vitu ukiviangalia kwa tafakuri pana ni kama tumepoteza mwelekeo kabisa...Sioni maono sioni dira sioni mikakati yoyoye endelevu.. Tunajiendea tuu..
Je hasi na chanya za royal tour zilichakatwa na kupimwa matokeo yake? Kiuchumi? Kijamii? Mahusiano ya kimataifa? Nknk
Kwanini organs za utalii zisitafute fedha isiyo na madhara ya baadae na badala yake wafanyabiashara wasiotajwa ndio wawe wafadhili?
Kwa nini hiyo filamu iitwe royal tour wakati kila kitu kimefanyika hapa Tanzania kasoro mwandishi na timu yake?
Tunaonaje kama tungeiita
Safari Serengeti/ Ngorongoro?
A tour thro Serengeti with Madam president?
Jambo Serengeti
A day with SSH inside Serengeti
Nature n beauty of Serengeti etc

Matumizi ya jina la mbuga husika yangeleta impact kubwa sana kwenye hiyo filamu.. Lakini kwanini jina haliakisi chochote kilichochezwa kwenye filamu husika? Masharti ya waliofadhili?
 
It is high time tutulize akili na kufikiria. Wahenga wanasema mchimba kaburi, hutumbukia mwenyewe. Changamoto zipo nyingi. Namna ya kuongoza sio lazima ifanane na yeyote yule. Ila lazima tuongozwe kwenda mbele. Tukimbwelambwela tusimlaumu mtu.
Tanzania ni ya kwetu sote
 
Tanzania ni yetu sote..[emoji1545][emoji1545][emoji1545] i wish hii slogan ingesikika na wengi
 
Mafanikio?
 
[emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15]
IMG-20220429-WA0063.jpg

Amesema Fedha za kutengeneza Filamu hiyo zimetokana na michango ya Wafanyabiashara mbalimbali Ndani na Nje ya sekta ya Utalii iliyoanguka kidogo kutokana na mlipuko wa COVID19
 
Back
Top Bottom