Royal Tour ni kichocheo tu, mamlaka zisijisahau

Ikiisha itwa biashara ina lengo moja tuu FAIDA kwenye fursa yoyote inayojitokeza..! Nikichangia B1 nimeshaona fursa ya kurudisha as twice as much .. Biashara sio huduma ya kiroho[emoji848][emoji2827]
Hata baadhi ya Huduma za kiroho ni biashara...!
 
1. Customer care
2. Ushindani na majirani zetu
3.Muwekezaji (Asiyejulikana)
4.Peter Greenberg? Ametubeba mabegani mwake, hatukuwa na wazawa ambao wangeweza kuwasilisha dhima nzima ya Royal Tour ?

Rangi nyeusi bado ni ishara mbaya, Rangi nyeupe inaashiria nuru.
 
Na generation inajengwa kwa kipindi cha miaka 20, hilo silioni likitokea. Tutaendelea kuisoma namba!
 
Mafanikio!?[emoji848][emoji2827]
 
Nikiangalia yanayoendelea, najisikia vibaya sana. Nakumbuka kitabu cha Baba wa Taifa cha Uongozi na Hatma ya Taifa letu. Hivi nini kinaendelea sasa hivi? Kwa hizi mbwembwe ndio tunajenga nchi?
 
Uongozi umejaa waongo, uongo na upigaji? Ndio sifa za kuwa kiongozi? Nini hiki kinachoendelea? Tutakimaje tukifananisha na gharama za kufanya?
 
Hao sasa ndio CCM, yote ni majizi tu na maongo mwanzo mwisho
 
Nikiangalia yanayoendelea, najisikia vibaya sana. Nakumbuka kitabu cha Baba wa Taifa cha Uongozi na Hatma ya Taifa letu. Hivi nini kinaendelea sasa hivi? Kwa hizi mbwembwe ndio tunajenga nchi?
Kuna vitu ukiviangalia kwa tafakuri pana ni kama tumepoteza mwelekeo kabisa...Sioni maono sioni dira sioni mikakati yoyoye endelevu.. Tunajiendea tuu..
Je hasi na chanya za royal tour zilichakatwa na kupimwa matokeo yake? Kiuchumi? Kijamii? Mahusiano ya kimataifa? Nknk
Kwanini organs za utalii zisitafute fedha isiyo na madhara ya baadae na badala yake wafanyabiashara wasiotajwa ndio wawe wafadhili?
Kwa nini hiyo filamu iitwe royal tour wakati kila kitu kimefanyika hapa Tanzania kasoro mwandishi na timu yake?
Tunaonaje kama tungeiita
Safari Serengeti/ Ngorongoro?
A tour thro Serengeti with Madam president?
Jambo Serengeti
A day with SSH inside Serengeti
Nature n beauty of Serengeti etc

Matumizi ya jina la mbuga husika yangeleta impact kubwa sana kwenye hiyo filamu.. Lakini kwanini jina haliakisi chochote kilichochezwa kwenye filamu husika? Masharti ya waliofadhili?
 
It is high time tutulize akili na kufikiria. Wahenga wanasema mchimba kaburi, hutumbukia mwenyewe. Changamoto zipo nyingi. Namna ya kuongoza sio lazima ifanane na yeyote yule. Ila lazima tuongozwe kwenda mbele. Tukimbwelambwela tusimlaumu mtu.
Tanzania ni ya kwetu sote
 
Tanzania ni yetu sote..[emoji1545][emoji1545][emoji1545] i wish hii slogan ingesikika na wengi
 
Mafanikio?
Your browser is not able to display this video.
 
[emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15]


Amesema Fedha za kutengeneza Filamu hiyo zimetokana na michango ya Wafanyabiashara mbalimbali Ndani na Nje ya sekta ya Utalii iliyoanguka kidogo kutokana na mlipuko wa COVID19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…