Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Mimi nawashauri mjikite kujua nia ya hao wachangiaji...[emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15]View attachment 2204471
Amesema Fedha za kutengeneza Filamu hiyo zimetokana na michango ya Wafanyabiashara mbalimbali Ndani na Nje ya sekta ya Utalii iliyoanguka kidogo kutokana na mlipuko wa COVID19
#Modulator🤣🤣🤣Hii nchi viongozi mazuzu kupita kiasi, ni ajabu sana yaani ngoja niishie hapa nisije kupigwa ban ya 2 weeks na modulator
Kuna mpango mkakati nyuma ya pazia ya kumiliki eneo lote lile kwakuwa lina madini mapya na vitu vingine vingi vizuri ...wanapatamani mno baada ya kunogewa na Loliondo..Mimi nawashauri mjikite kujua nia ya hao wachangiaji...
Anayway, kuna ndugu zetu wanaondolewa kwenye makazi yao kupisha uhifadhi. Wanakopelekwa wanapewa viwanja na kujengewa nyumba.
Ile bajeti pia tuulize ni ya nani, kwa faida ya nani, ili iwe nini? mbona ghafla sana?
Hiyo movie imetengenezwa kwa kuzingatia matakwa na matarajio ya wenye idea yao... wenye fedha zao na watalii wanaotaka kuja kuona mazuri ya Tanzania.
NB: Ishu yangu kubwa ni je, ule uhamisho wa Masai kutoka Ngorongoro una uhusiano na Royal Tour?Hiyo movie imetengenezwa kwa kuzingatia matakwa na matarajio ya wenye idea yao... wenye fedha zao na watalii wanaotaka kuja kuona mazuri ya Tanzania.
It is very organic.
Najua pengine watu walitaka vitu nakshi nakshi ambavyo kwa asilimia kubwa si uhalisia wa tulivyo kwenye maisha yetu ya kila siku!
BIG UP TO ROYAL TOUR... IT HAS TO START SOMEWHERE!
NB: Ishu yangu kubwa ni je, ule uhamisho wa Masai kutoka Ngorongoro una uhusiano na Royal Tour?
Kama ndiyo kwa nini?
Kama hapana kivipi?