Royal Tour pamoja na kutumia mabilioni ya pesa haikumulika utalii wa mali kale na historia

Nchi kama misri na Southa Afrivca zina pata pesa nyingi kupitia utalii wa mali kale historia.

Angalia senema ya Royal tour haijakuwa na nia tjabiti kupromote utalii bali usanii wa kutafuna pesa za wananchi.

Inaonyesha viongozi wanavua samaki na wachimba migodi wanazama mgodini for what?

Mtalii gani hajui habari za mlima kilimanjaro na wanyama wa Serengeti.

Kwa nini msiandae makala maalumu ajili ya utalii wa mali kale na historia?

Au ndio kutwanga watu na vyuma vizito bila huruma?
👇
Tanzania inavyopoteza mapato utalii wa malikale, historia Tanzania inavyopoteza mapato utalii wa malikale, historia
Watanzania hawana jema aiseeee. Mkikuta zile jezi zilizo andikwa visit Rwanda utasikia kanchi kadogo tu angalia kanavyojitangaza. Tukifanya sie kujitangaza utasikia upotevu wa hela. Ebwana Eeehhh ni moja ya hatua katika kujitangaza. Kwani wale walioandika VISIT RWANDA si yanaonekana maandishi tu afu pesa waliyoweka ni mabilions mengi. Ingekua bongo sasa hahhaah. In capitalism kama hujitangazi sahau
 
Matumizi mabaya ya pesa ya walipa kodi
Nchi ina wendawazimu wengi
Eti royotour Na wasanii walioishia darasa la tano tutafika kweli?
Msanii ni kipaji sio madarasa. Kwa waangalie wale waigizaji wa Hollywood au wasanii wengi wa rap au music yoyote duniani wengi wali dropouts darasani.
 
Nchi kama misri na Southa Afrivca zina pata pesa nyingi kupitia utalii wa mali kale historia.

Angalia senema ya Royal tour haijakuwa na nia tjabiti kupromote utalii bali usanii wa kutafuna pesa za wananchi.

Inaonyesha viongozi wanavua samaki na wachimba migodi wanazama mgodini for what?

Mtalii gani hajui habari za mlima kilimanjaro na wanyama wa Serengeti.

Kwa nini msiandae makala maalumu ajili ya utalii wa mali kale na historia?

Au ndio kutwanga watu na vyuma vizito bila huruma?
👇
Tanzania inavyopoteza mapato utalii wa malikale, historia Tanzania inavyopoteza mapato utalii wa malikale, historia
Hii siyo fani yako achana nayo. Strategically huwezi kiweka kila kitu kwenye film itakuwa kupoteza direction. Producer ame aim at Big Four ambayo ni 20% ya vivutio vyote lakini vinaingiza 80% ya Tourism revenue ie Serengeti, Ngorongoro, Mt Kilimanjaro & Zanzibar. Hiyo ndiyo Pareto Optimality au 80%/ 20% Principle, nenda kaisome kwenye theories za uchumi uelewe. Maana wewe ni mburula tu
 
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻 umemjibu vzr mkuu.
 
Ilikuwa ni kazi ya wizara ya utalii Lakini ikawa ndio hivyo tena... Mkuu mwenyewe akaenda front line...!
Mshana Jr are you telling the truth? Hii kwa Peter Greenberg siyo ya kwanza. Hebu weka majina ya Stars wa Royal Tours zifuatazo; Rwanda, New Zealand, Israel, Mexico na Ecuador?

Wote ni maRais wa nchi hakuna mtu mdogo na ndipo concept ya Royal Tour inapolamilika.

Hata kama mnchukia Rais SSH basi msiweke uwongo ku justfy hoja zenu
 
Hii siyo fani yako achana nayo. Strategically huwezi kiweka kila kitu kwenye film itakuwa kupoteza direction. Producer ame aim at Big Four ambayo ni 20% ya vivutio vyote lakini vinaingiza 80% ya Tourism revenue ie Serengeti, Ngorongoro, Mt Kilimanjaro & Zanzibar. Hiyo ndiyo Pareto Optimality au 80%/ 20% Principle, nenda kaisome kwenye theories za uchumi uelewe. Maana wewe ni mburula tu
Ni mtalii gani wa dunia hii asiyejua habari za Serengeti, Ngorongoro Kilimanjari na Zanzibar mpaka mpoteze pesa kipuuzi namna hiyo?

Hujui unachozungumza we kima.

Kwa nini usipromote kwa nguvu eneo ambalo lipo chini sana kimasoko? Acha ujinga we kima
 
Mshana Jr are you telling the truth? Hii kwa Peter Greenberg siyo ya kwanza. Hebu weka majina ya Stars wa Royal Tours zifuatazo; Rwanda, New Zealand, Israel, Mexico na Ecuador?

Wote ni maRais wa nchi hakuna mtu mdogo na ndipo concept ya Royal Tour inapolamilika.

Hata kama mnchukia Rais SSH basi msiweke uwongo ku justfy hoja zenu
Kazi ya kufanya promotion ya tourism ni ya Tanzania tourism board sio ya Dk Abas na wahuni wachache. Muelewe Mshana Kabla kukurupuka kama uharao. Fuatilia Royal tour za hizo nchi kama kuna ubwege kama huu.
 
Nchi kama misri na Southa Afrivca zina pata pesa nyingi kupitia utalii wa mali kale historia.

Angalia senema ya Royal tour haijakuwa na nia tjabiti kupromote utalii bali usanii wa kutafuna pesa za wananchi.

Inaonyesha viongozi wanavua samaki na wachimba migodi wanazama mgodini for what?

Mtalii gani hajui habari za mlima kilimanjaro na wanyama wa Serengeti.

Kwa nini msiandae makala maalumu ajili ya utalii wa mali kale na historia?

Au ndio kutwanga watu na vyuma vizito bila huruma?
👇
Tanzania inavyopoteza mapato utalii wa malikale, historia Tanzania inavyopoteza mapato utalii wa malikale, historia
Sasa inakuaje wastage of time? Kwani hukuambiwa kwamba zinakuja series zingine zitafanya coverage kubwa?
 
Nchi kama misri na Southa Afrivca zina pata pesa nyingi kupitia utalii wa mali kale historia.

Angalia senema ya Royal tour haijakuwa na nia tjabiti kupromote utalii bali usanii wa kutafuna pesa za wananchi.

Inaonyesha viongozi wanavua samaki na wachimba migodi wanazama mgodini for what?

Mtalii gani hajui habari za mlima kilimanjaro na wanyama wa Serengeti.

Kwa nini msiandae makala maalumu ajili ya utalii wa mali kale na historia?

Au ndio kutwanga watu na vyuma vizito bila huruma?
👇
Tanzania inavyopoteza mapato utalii wa malikale, historia Tanzania inavyopoteza mapato utalii wa malikale, historia
Acha kusema hivyo kwani CCM wamekwisha mpongeza mama hatuwezi kuifuta.
 
Mshana Jr are you telling the truth? Hii kwa Peter Greenberg siyo ya kwanza. Hebu weka majina ya Stars wa Royal Tours zifuatazo; Rwanda, New Zealand, Israel, Mexico na Ecuador?

Wote ni maRais wa nchi hakuna mtu mdogo na ndipo concept ya Royal Tour inapolamilika.

Hata kama mnchukia Rais SSH basi msiweke uwongo ku justfy hoja zenu
Alaa kumbe tumefuata mkumbo i thought tungeweza kuja kivingine
BTW sina chembe ya chuki na rais.. Nampenda sana lakini naye ni binadamu kama wewe na Mimi anaweza kukosea pia
 
Inasikitisha Sanaa San royal tour itakwend na maj
 
Nchi kama misri na Southa Afrivca zina pata pesa nyingi kupitia utalii wa mali kale historia.

Angalia senema ya Royal tour haijakuwa na nia tjabiti kupromote utalii bali usanii wa kutafuna pesa za wananchi.

Inaonyesha viongozi wanavua samaki na wachimba migodi wanazama mgodini for what?

Mtalii gani hajui habari za mlima kilimanjaro na wanyama wa Serengeti.

Kwa nini msiandae makala maalumu ajili ya utalii wa mali kale na historia?

Au ndio kutwanga watu na vyuma vizito bila huruma?
👇
Tanzania inavyopoteza mapato utalii wa malikale, historia Tanzania inavyopoteza mapato utalii wa malikale, historia
Nimefanikiwa kuhudhuria mojawapo ya high-level delegate meetings... Kwa watu wenye uelewa wajipange, kuna fursa zitamiminika sana kwenye tourism value chain.
 
Back
Top Bottom