Royal Tour ya Rais Samia yaanza kujibu | Rapper Rick Ross kuwekeza karibu Tshs 8.1bl Tanzania

Tanzania Safi Sana
 
Wadau wa utalii wanalia njaa..

Promo ya utalii huku unakazana kuitangaza Corona!

Saaafiii...
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
piga kazi mama tuko na wewe
 
 
Hongera CCM kwa kazi kubwa kama hii,
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Hovyooo sana, Rozay alifanya interview na Tambwe, ndio mchongo wote ukaanzia hapo.

Kuzurura kwa samia hakuhusian na huo mchongo
Leo ndio nimeona umuhimu wa Safari za nje za Rais,

Wawekezaji 111 kwa mpigo huku 40 niwawekwzaji wakubwa kabisa,

VIVA SAMIA VIVA||VIVA TANZANIA VIVA
 
CM umekuwa Shaka wa CCM,tumeuchoka uchawa wako,unasifia hata pasipo stahili,Rick Ross anamfuata Mobeto na hakuna atakachowekeza ,hizo ni porojo tu.
 
 
#happy birthday Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…