Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awekeze sasa kama anazo,tunataka uwekezajiBillion 8 hata Dangote wa Bongo anazonyingi sana zaidi ya hizo
Uongo upi mkuu?Uongo mwingine wala huna maana...
Hera?
Sisi tushukuru kwa chochoteBillion 8 siyo hera nyingi katika masuala ya uwekezaji..Angalia magorofa ya Nssf au jengo la ofisi ya makamu wa rais linakula hera nyingi billion 18 lakini sijengo la kutisha sana,,sasa hapa kwa hizi billion 8 ni hera ndogo
Hahaha nadhani tayariAhsante kwa taarifa, itakua kashaanza kuwekeza kwa Hamisa...
Wewe utakuwa ni mzalendo hasa,kwa kutuletea habari za maendeleo.Usiache kutuhabarisha.Najivunia kuwa mtanzania.Nawasalimu kwa jina la JMT,
|Rapper maarufu duniani raia wa Marekani Mr William Leonard Roberts II a.k.a Rick Ross aonesha nia ya kuwekeza Tanzania kiasi cha $3.5M karibu Tshs 8.1BL katika sekta ya Ujenzi|mali zisizohamishika|
|Rick Ross kufika tu Tanzania tayari tutavuna waatali wengine wengi kwa mgongo wake kama mtu maarufu dunaini |
|Katika kile kinachoonekana kama matokeo ya "ROYAL TOUR FIRM " hata kabla ya uzinduzi wake rasmi tayari mambo yameanza kujibu|
|Tuendelee kuiombea nchi yetu pamoja na Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan|
[emoji1541][emoji1541]
________________![]()
Rick Ross ready to invest $3.5 million in Tanzania
American rapper Rick Ross has said he is ready to invest a tune of $3.5 million( Sh8.1 billion) in real estate in Tanzania.www.thecitizen.co.tz
Dar es Salaam. American rapper Rick Ross has said he is ready to invest a tune of $3.5 million( Sh8.1 billion) in real estate in Tanzania.
Ross whose real name is William Leonard Roberts II has a net worth of $40 Million mainly from music but is also an entrepreneur.
His main business venture is owning several Wingstop restaurants in the US.
The Maybach Music Group boss revealed in an interview with presenter Omary Tambwe alias Lil Ommy through a zoom video conferencing.
Lil Ommy suggested three places in the country that are potential investment spots, which include commercial capital Dar es Salaam, Arusha and Zanzibar.
Replying to the suggestions Ross said: I love being around water but I want to be around people too, so if I spend $3.5 million I will have something amazing.
Apart from investing in real estate the 45-year-old rapper said he will visit Mount Kilimanjaro and spend one week there.
“I have been hearing of Serengeti and Kilimanjaro my whole life, me being an artiste, entrepreneur and a boss it takes up to 10 years to get your feet planned to enjoy the ground,’
“I am at the point where I have time and I can afford to go to Kilimanjaro to enjoy being there for a week,” he said.
Kazi iendelee
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Hongera sana.Najivunia kuwa mtanzania.[|Kazi anazofanya Rais Samia zinaacha alama kwa kikazi hiki na kizazi kijacho,
Hongera sana Mama Samia wetu, ]|
Jibu Mswali haya kwa Ukamilifu,
1.Rais Mnyenyekevu Africa -SAMIA
2.Rais mpole Africa -SAMIA. √
3. Rais mchamungu Africa -SAMIA √
4. Rais rafiki wa wananchi wake Africa -SAMIA √
5. Rais Chaguo la Watanzani 2025-2030 -SAMIA √
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,Film ya Royal Tour inatoka mwakani Feb au March. Usifananishe na Movie za Kanumba alizokuwa anatoa kila wiki.
HahahaYupo kwa kazi maalumuView attachment 1950572
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿Nawasalimu kwa jina la JMT,
|Rapper maarufu duniani raia wa Marekani Mr William Leonard Roberts II a.k.a Rick Ross aonesha nia ya kuwekeza Tanzania kiasi cha $3.5M karibu Tshs 8.1BL katika sekta ya Ujenzi|mali zisizohamishika|
|Rick Ross kufika tu Tanzania tayari tutavuna waatali wengine wengi kwa mgongo wake kama mtu maarufu dunaini |
|Katika kile kinachoonekana kama matokeo ya "ROYAL TOUR FIRM " hata kabla ya uzinduzi wake rasmi tayari mambo yameanza kujibu|
|Tuendelee kuiombea nchi yetu pamoja na Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan|
👇🏿👇🏿
________________![]()
Rick Ross ready to invest $3.5 million in Tanzania
American rapper Rick Ross has said he is ready to invest a tune of $3.5 million( Sh8.1 billion) in real estate in Tanzania.www.thecitizen.co.tz
Dar es Salaam. American rapper Rick Ross has said he is ready to invest a tune of $3.5 million( Sh8.1 billion) in real estate in Tanzania.
Ross whose real name is William Leonard Roberts II has a net worth of $40 Million mainly from music but is also an entrepreneur.
His main business venture is owning several Wingstop restaurants in the US.
The Maybach Music Group boss revealed in an interview with presenter Omary Tambwe alias Lil Ommy through a zoom video conferencing.
Lil Ommy suggested three places in the country that are potential investment spots, which include commercial capital Dar es Salaam, Arusha and Zanzibar.
Replying to the suggestions Ross said: I love being around water but I want to be around people too, so if I spend $3.5 million I will have something amazing.
Apart from investing in real estate the 45-year-old rapper said he will visit Mount Kilimanjaro and spend one week there.
“I have been hearing of Serengeti and Kilimanjaro my whole life, me being an artiste, entrepreneur and a boss it takes up to 10 years to get your feet planned to enjoy the ground,’
“I am at the point where I have time and I can afford to go to Kilimanjaro to enjoy being there for a week,” he said.
Kazi iendelee
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
GoodRais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,
miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000
Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
Nasikia jamaa yuko serious,Kumbe kaonesha nia! Hiz nia mara nyingi huishia nania.
CHUKI,WIVU NA ROHO MBAYA VITAWAUWA TIMU KINUNDUHovyooo sana, Rozay alifanya interview na Tambwe, ndio mchongo wote ukaanzia hapo.
Kuzurura kwa samia hakuhusian na huo mchongo
Kwamba Samia ndio kamvutia Rick Rozay? Hebu acheni uphala bana
Watu wa Lumumba mnapenda kubwatuka yaani sasahivi mmeshaanza kumnanga Mwendazake mliyekuwa mkisema kaletwa na Mungu, CCM ni Ile Ile by Captain KombaNawasalimu kwa jina la JMT,