Royal Tour ya Rais Samia yaanza kujibu | Rapper Rick Ross kuwekeza karibu Tshs 8.1bl Tanzania

#happy birthday Tanganyika
 
Aiseee we jamaa ni kituko kabisa....... pamoja na hizo story za Ross kamwe awezi wekeza tanzania ... itabaki story ,,,,,, hivi uhusiano wa hii story na royal tour uko wapi?
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
"Team JF "

Kama maambukizi ya COVID -19 yanaongezeka siku hadi siku, nilazima kuchanja kwa hiari ili kujinga,

#Kuwa Supa kachanje,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Atakuwa kapagawa na kitu cha moto cha bongo.
 
Bilioni 8 kwenye real estate mbona hela ndogo sana hiyo.
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hujui hata ndg zako wanaweza kupata ajira?

Msipoangalia na mkaingia kichwa kichwa na hawa wawekezaji msijemkajikuta mnabadilisha migodi ya Nickel kwa vyandarua vya mbu!!! Simply because mnaambiwa wanaleta ajira!!!
 
Msipoangalia na mkaingia kichwa kichwa na hawa wawekezaji msijemkajikuta mnabadilisha migodi ya Nickel kwa vyandarua vya mbu!!! Simply because mnaambiwa wanaleta ajira!!!
Uko sahihi kwa 100% ,Umakini unahitajika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…