Royal Tour ya Rais Samia yaanza kujibu | Rapper Rick Ross kuwekeza karibu Tshs 8.1bl Tanzania

Royal Tour ya Rais Samia yaanza kujibu | Rapper Rick Ross kuwekeza karibu Tshs 8.1bl Tanzania

Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Bora tumpe pongezi Hamisa Mobeto kuliko Samia.

Kuhusu hilo fuatilia maelezi ya Hamisa siku anarudi bongo kutoka Dubai aliko kuwa na huyo bwanyenye.

Ila wewe jombaa unajitafutia zambi za bure. Unapamba hadi vumbi.
 
Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais wa kweli basi ni sasa, Mungu tujalie heri kuelekea 2025|30
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Back
Top Bottom