Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Kinachoendelea sasa ni kuongezeka wimbi la mahujaji wanaoenda kuzuru kaburi la Hayati Magufuli kule Chato tena wanaenda kimyakimya hawataki camera wala media coverage.
Siku ya leo Chato imejaa wageni na haitopita mida kutskuwa na ongezeko la watalii wa ndani na nje kufika Chato kimyakimya na kuondoka.
Uchaguzi 2025 utakuwa ni pande mbili za Hayati Magufuli. Hivyo mnapoona Upinzani unaunganisha nguvu na mbogamboga fc ndo mjue kuwa imani ya walio jikoni imetetereka.
Kama tunavyofahamu mashujaa wanaofia vitani wanaenziwa sana na kumbukumbu zao kuwekwa vizazi na vizazi. Aliyefariki alikuwa Amiri Jeshi Mkuu ambaye alikuwa anaongoza mapambano ya kiuchumi kwa taifa lake.
Hivyo as Nation inayojinasibu kupiga vita ubaguzi inapaswa kusimama kwenye kauli na msimamo wake kuhusu shujaa aliyefia vitani.