Royal Tour yahamia Chato

Royal Tour yahamia Chato

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
Kinachoendelea sasa ni kuongezeka wimbi la mahujaji wanaoenda kuzuru kaburi la Hayati Magufuli kule Chato tena wanaenda kimyakimya hawataki camera wala media coverage.

Siku ya leo Chato imejaa wageni na haitopita mida kutskuwa na ongezeko la watalii wa ndani na nje kufika Chato kimyakimya na kuondoka.

Uchaguzi 2025 utakuwa ni pande mbili za Hayati Magufuli. Hivyo mnapoona Upinzani unaunganisha nguvu na mbogamboga fc ndo mjue kuwa imani ya walio jikoni imetetereka.

Kama tunavyofahamu mashujaa wanaofia vitani wanaenziwa sana na kumbukumbu zao kuwekwa vizazi na vizazi. Aliyefariki alikuwa Amiri Jeshi Mkuu ambaye alikuwa anaongoza mapambano ya kiuchumi kwa taifa lake.

Hivyo as Nation inayojinasibu kupiga vita ubaguzi inapaswa kusimama kwenye kauli na msimamo wake kuhusu shujaa aliyefia vitani.
 
Maneno kama haya akiyasoma ndugu wa karibu wa ben saa 8 anaweza akakushangaa sana.
Mnatulazimisha tuandike maneno ya kuchukiza kwenu na tuonekane wabaya kwa ndugu wa saa nane...Kama alikufa kweli RIP saa nane!
 
Hajafa kweli?

Yuko wapi.
Mlikataa kufuatilia hii taarifa mkabakia na mnayosadiki.
BEN WA SAANANE1.jpg
 
Mlikataa kufuatilia hii taarifa mkabakia na mnayosadiki.
View attachment 2557122
Hilda Newton aliwahi kuandika msaidizi wa Mbowe yupo South Africa katumwa na Mbowe,mara tukasikia kapotea mara Kubenea akaandika kwenye gazeti la Mwana halisi,Msaidizi wa Mbowe kuibuka ni Saanane,sasa nashindwa kuelewa kwa nini wanamwangushia jumba bovu Hayati,hata suala la Tundu Lissu kupigwa risasi,Tundu Lissu anamficha dereva hadi leo na kaambiwa mlete dereva tutakutajia aliyekupiga risasi mahakamani lakini Lissu hataki,hapo ndipo ninapoitilia shaka Chadema sijui wakichukua nchi itakuwaje!?
 
Kinachoendelea sasa ni kuongezeka wimbi la mahujaji wanaoenda kuzuru kaburi la Hayati Magufuli kule Chato tena wanaenda kimyakimya hawataki camera wala media coverage.

Siku ya leo Chato imejaa wageni na haitopita mida kutskuwa na ongezeko la watalii wa ndani na nje kufika Chato kimyakimya na kuondoka.

Uchaguzi 2025 utakuwa ni pande mbili za Hayati Magufuli. Hivyo mnapoona Upinzani unaunganisha nguvu na mbogamboga fc ndo mjue kuwa imani ya walio jikoni imetetereka.

Kama tunavyofahamu mashujaa wanaofia vitani wanaenziwa sana na kumbukumbu zao kuwekwa vizazi na vizazi. Aliyefariki alikuwa Amiri Jeshi Mkuu ambaye alikuwa anaongoza mapambano ya kiuchumi kwa taifa lake.

Hivyo as Nation inayojinasibu kupiga vita ubaguzi inapaswa kusimama kwenye kauli na msimamo wake kuhusu shujaa aliyefia vitani.
Huo mkusanyiko hapo chato ni haramu!
 
Bwashee mbona unatoa nje siri zetu? We kama umetuona ungepotezea tu. Unaweza kuwafanya waanze kutufuatilia!
 
Nakumbuka kama nliangslia katuni utoyon tulikuwa tunaiita ben sansne
 
Back
Top Bottom