Royal Tour yajibu! Ndani ya miezi 11 tu watalii waliotembelea Tanzania wafikia milioni 1.2

Na wewe pika za kwako mbuzi wewe,hizi taarifa zimetoka kwenye uchambuzi wa ripoti ya Uchumi wa banki kuu kwa mwezi Novemba.
Sawa Sunked, Tuonyesha pale inaposema Royal Tour.....Bla bla bla nukta nukta nukta Milioni moja na kadhaa.

Watu watabisha tu ulichoabandika au? Wape chanzo kingine Yakhee.

Lakini nimefurahi na zile namba za 2018, 2019 wakati tuliambiwa, tunaambiwa walikuwa hawaji kwa sababu 'Tanzania kulikuwa sio salama'
 
Morocco wanapata watalii 12M kwa mwaka. Mama ameonesha yuko serious na utalii ktk Royal Tour movie yake na Pira. Naamini kabisa atapambana zaidi kwa kushirikiana na North Africa ili kwa miaka 5 tuweze angalau ku-double idadi ya watalii nchini

Kwenye makaratasi yes
 
Hongera na kazi wadau..

Nitumie fursa hii kueleza habari Njema za Royal tour..

Idadi ya Watalii Waliotembelea Tanzania kwa miezi 11 ya mwaka 2022 wamefikia Milioni Moja na Laki mbili(1,200,000)..

Hizi Ni habari njema zikizoletwa na Royal tour na bila shaka Hadi Mwisho wa mwezi wa 12 Idadi ya Watalii itavuka 1.3Mil..

Bila Shaka huko tuendako Mambo yanaweza kuwa mazuri ikizingatia Tanzania umeweka lengo la kufikia Idadi ya Watalii mil.5 mwaka 2025.

Hongera zenu Ila bado Sana kuwafikia Egypt,Morocco,South Africa nk.👇

We Chawa wake au?
 
Taasisi ninazoziamini haziko hapa Tanzania, na kwa mujibu wa sheria za kimataifa haziruhusiwi kuingilia mambo ya ndani ya nchi. Hivyo mnaomini Matango pori muendelee.
Leta takwimu kutoka huko huko ziliko acha porojo na blaa blaa
 
Sawa Sunked, Tuonyesha pale inaposema Royal Tour.....Bla bla bla nukta nukta nukta Milioni moja na kadhaa.

Watu watabisha tu ulichoabandika au? Wape chanzo kingine Yakhee.

Lakini nimefurahi na zile namba za 2018, 2019 wakati tuliambiwa, tunaambiwa walikuwa hawaji kwa sababu 'Tanzania kulikuwa sio salama'
Sio royal tour pekee imesabababisha Bali na sekta yenyewe kufunguka..
 
Bado tuna safari ndefu sana kwenye hili tofauti ya idadi ya watalii 1.3m na 5m bado ni kubwa sana itakuwa ni kazi ngumu kutoka moja na kufikia 5ndani ya hii miaka miwili iliybaki kabla y 2025 hata hivyo kila mtanzania popote alipo afikirie anaweza kufanya nini ili kuongeza idadi ya wageni watalii watakaoitembelea Tz
 
Hakuna hoja mpya hapo. Utalii ulianza kurejea nchi nyingi tu Duniani ama huko pia walikua na royal tour?

Mwaka 2019 tulipata watalii 1.5, mwaka 2020 wakaja watalii laki 6, mwaka 2012 wakaja 7na ushee, mwaka 2022 covid ilikua ishadhibitiwa nchi nyingi hivyo watalii walikua wanaanza kurejea.

Hakuna mahusiano ya royal tour na utalii kurejea.
 
Bado tuna safari ndefu sana kwenye hili tofauti ya idadi ya watalii 1.3m na 5m bado ni kubwa sana itakuwa ni kazi ngumu kutoka moja na kufikia 5ndani ya hii miaka miwili iliybaki kabla y 2025 hata hivyo kila mtanzania popote alipo afikirie anaweza kufanya nini ili kuongeza idadi ya wageni watalii watakaoitembelea Tz
Ili viongozi wazidi kuishi vizuri.
 
Hongera na kazi wadau..

Nitumie fursa hii kueleza habari Njema za Royal tour..

Idadi ya Watalii Waliotembelea Tanzania kwa miezi 11 ya mwaka 2022 wamefikia Milioni Moja na Laki mbili(1,200,000)..

Hizi Ni habari njema zikizoletwa na Royal tour na bila shaka Hadi Mwisho wa mwezi wa 12 Idadi ya Watalii itavuka 1.3Mil..

Bila Shaka huko tuendako Mambo yanaweza kuwa mazuri ikizingatia Tanzania umeweka lengo la kufikia Idadi ya Watalii mil.5 mwaka 2025.

Hongera zenu Ila bado Sana kuwafikia Egypt,Morocco,South Africa nk.👇

Kwa jinsi ambavyo tumeshazoea kudanganganywa na the establishment,the 1.2 million figure of tourists will remain a myth,na kwanza hiyo figure inamsaidia nini mwananchi wa kawaida.Mwananchi wa kawaida anahitaji positive change in his pocket,sio figures ambazo hata hawawezi kuzi-prove.
 
Jamiiforums chawa wamekuwa wengi mno, tena wasio na data, mtu anaandika bonge la essay with zero facts, ni kama UVCCM yote imemwagwa humu eti nao wana fanya siasa.

Kwa taarifa yenu tu, mwaka 2016 Tanzania ilipata watalii 1.2M, 2017: 1.3M, 2018: 1.4M, 2019 Tanzania ilipata watalii 1.5M na kuvunja records ya mapato ya utalii around 2.6B USD, utalii ulianguka mwaka 2020 Kwa sababu ya COVID 19, mwaka huo tulipata watalii laki 6, nchi zote na anga zao zilifungwa, lockdown, chumi nyingi duniani zilianguka kukawa hakuna utalii globally, mwaka 2021 mwishoni nchi nyingi Zika zikaondokana na lockdown, watalii wakaanza kuingia nchini na duniani kote, ndio maana hata china wameachana na zero COVID policy na kuruhusu raia wake waende kokote duniani, so sekta ya utalii Ina rudi katika hali yake ya zamani sio Kwa sababu ya Loyal tour.
 
Well & True said.
 
Na wewe pika za kwako mbuzi wewe,hizi taarifa zimetoka kwenye uchambuzi wa ripoti ya Uchumi wa banki kuu kwa mwezi Novemba.
mwaka 2016 Tanzania ilipata watalii 1.2M, 2017: 1.3M, 2018: 1.4M, 2019 Tanzania ilipata watalii 1.5M na kuvunja records ya mapato ya utalii around 2.6B USD, utalii ulianguka mwaka 2020 Kwa sababu ya COVID 19, mwaka huo tulipata watalii laki 6, nchi zote na anga zao zilifungwa, lockdown, chumi nyingi duniani zilianguka kukawa hakuna utalii globally, mwaka 2021 mwishoni nchi nyingi Zika zikaondokana na lockdown, watalii wakaanza kuingia nchini na duniani kote, ndio maana hata china wameachana na zero COVID policy na kuruhusu raia wake waende kokote duniani, so sekta ya utalii Ina rudi katika hali yake ya zamani sio Kwa sababu ya Loyal tour.
 
Jamiiforums chawa wamekuwa wengi mno, tena wasio na data, mtu anaandika bonge la essay with zero facts, ni kama UVCCM yote imemwagwa humu eti nao wana fanya siasa.

Kwa taarifa yenu tu, mwaka 2016 Tanzania ilipata watalii 1.2M, 2017: 1.3M, 2018: 1.4M, 2019 Tanzania ilipata watalii 1.5M na kuvunja records ya mapato ya utalii around 2.6B USD, utalii ulianguka mwaka 2020 Kwa sababu ya COVID 19, mwaka huo tulipata watalii laki 6, nchi zote na anga zao zilifungwa, lockdown, chumi nyingi duniani zilianguka kukawa hakuna utalii globally, mwaka 2021 mwishoni nchi nyingi Zika zikaondokana na lockdown, watalii wakaanza kuingia nchini na duniani kote, ndio maana hata china wameachana na zero COVID policy na kuruhusu raia wake waende kokote duniani, so sekta ya utalii Ina rudi katika hali yake ya zamani sio Kwa sababu ya Loyal tour.
Probably mwaka huu wa 2023 watafika mil.1.6..

Mwisho wadau wa Utalii ndio wanaofurahia Total tour Sasa nyie mhaopinga mna shida gani?

Huenda Royal tour isiwe na impacts kubwa kwa sababu ya umaarufu mdogo wa waliocheza filamu but zinakuja zingine watashiriki watu maarufu zaidi Hadi malengo ya Watalii mil.5 yafikiwe by 2025.
 
mwaka 2016 Tanzania ilipata watalii 1.2M, 2017: 1.3M, 2018: 1.4M, 2019 Tanzania ilipata watalii 1.5M na kuvunja records ya mapato ya utalii around 2.6B USD, utalii ulianguka mwaka 2020 Kwa sababu ya COVID 19, mwaka huo tulipata watalii laki 6, nchi zote na anga zao zilifungwa, lockdown, chumi nyingi duniani zilianguka kukawa hakuna utalii globally, mwaka 2021 mwishoni nchi nyingi Zika zikaondokana na lockdown, watalii wakaanza kuingia nchini na duniani kote, ndio maana hata china wameachana na zero COVID policy na kuruhusu raia wake waende kokote duniani, so sekta ya utalii Ina rudi katika hali yake ya zamani sio Kwa sababu ya Loyal tour.
👇
 
Bado tuna safari ndefu sana kwenye hili tofauti ya idadi ya watalii 1.3m na 5m bado ni kubwa sana itakuwa ni kazi ngumu kutoka moja na kufikia 5ndani ya hii miaka miwili iliybaki kabla y 2025 hata hivyo kila mtanzania popote alipo afikirie anaweza kufanya nini ili kuongeza idadi ya wageni watalii watakaoitembelea Tz
Walau wakifika 2.5-3Mil.sio mbaya
 
Back
Top Bottom