Royal Tour yajibu! Ndani ya miezi 11 tu watalii waliotembelea Tanzania wafikia milioni 1.2

Royal Tour yajibu! Ndani ya miezi 11 tu watalii waliotembelea Tanzania wafikia milioni 1.2

Kwa jinsi ambavyo tumeshazoea kudanganganywa na the establishment,the 1.2 million figure of tourists will remain a myth,na kwanza hiyo figure inamsaidia nini mwananchi wa kawaida.Mwananchi wa kawaida anahitaji positive change in his pocket,sio figures ambazo hata hawawezi kuzi-prove.
Na Hawa wanadanganya?👇
 
Hongera na kazi wadau.

Nitumie fursa hii kueleza habari njema za Royal Tour.

Idadi ya Watalii Waliotembelea Tanzania kwa miezi 11 ya mwaka 2022 wamefikia Milioni Moja na Laki mbili(1,200,000).

Hizi Ni habari njema zikizoletwa na Royal tour na bila shaka Hadi Mwisho wa mwezi wa 12 Idadi ya Watalii itavuka 1.3Mil.

Bila Shaka huko tuendako Mambo yanaweza kuwa mazuri ikizingatia Tanzania umeweka lengo la kufikia Idadi ya Watalii mil.5 mwaka 2025.

Hongera zenu Ila bado sana kuwafikia Egypt, Morocco, South Africa nk.[emoji116]

Roma haikujengwa siku moja. Tunasonga mbele siyo kama tulivyokuwa tunalishwa Matango pori
 
I have never trusted the WEF,it's a bunch of liars,hipocrites,hooligans and eugenists.Anyway, kama ni kweli basi tuone real changes in the lives of our people,otherwise the 1.2 million figure is useless.
Kama huamini Ni shida zako binafsi , actually Ni 1.4 millions Hadi disemba..

Soma hapa 👇
 
Nani kakwambia imekuja kubeba wanyama?
Kila mtu ana dhana yake, maana mtu akiona dege kubwa tu anajua limekuja kubeba wanyama, na ukifatilia kwa undani kumbe dege lilibeba mauwa, halafu mtu anaonyesha picha ya ndege haweki japo ka ushahidi kidogo watu wakaelewa
 
Huu utalii ni danganya toto kama wanyama wanahamishwa na midege mikubwa kwenda uarabuni.
Hivi nyie watu huwaga mnatumia nini kufikili kwasababu wanyama wanazaliana lazima wapunguzwe msilazimishe mambo yakawaida kuonekana yaajabu
 
Hivi nyie watu huwaga mnatumia nini kufikili kwasababu wanyama wanazaliana lazima wapunguzwe msilazimishe mambo yakawaida kuonekana yaajabu
Kwa hiyo wanapunguzwa kwa kusafirishwa nga'mbo? huna akili!
 
Naomba takwin za kipindi kama hicho kabla ya covid pandemic
Swali zuri,
Tuko kwenye sekta ya utalii ni miaka sasa,
Wageni wengi wanakua recommended na travel agents na rafiki wa rafiki aliyewahi kuja Tanzania.
Ukiwahoji vizuri asilimia kubwa ya watalii hawaijui na hawajawahi isikia Tanzania kabisaaa labda Kenya kwa mbali.

Hio royal tour ni mpango tu ndani ya shamba la bibi.
 
Na Hawa wanadanganya?👇

Sasa hapa unafurahia nn we kwa ufahamu wako wa nchi yetu ilivyo na vivutio vingi na adimu vya utalii kuwa namba 8 Afrika ni sawa kweli?!.
Yaani tumezidiwa hata na Kenya.

Nchi yetu ingekuwa na mipango dhabiti tulipaswa kuwa namba 1 kwa utalii barani Afrika unashangaza unavyofurahia kuwa wa 8!.

Ni dhahiri hauujui utalii sema maadam umekuwa chawa basi ni mwendo wa kushangilia tu chochote kama zuzu.
 
Nani kasema Ni sawa? Unadhani Watalii wanajileta tuu bila promotion? Na promotion Ni Pesa sio bure
 
Watalii wameongezeka ukilinganisha na 2020 na 2021 sababu ya kulegezwa kwa masharti/zuio ya usafiri wa anga kwa safari za Kimataifa yaliyotokana na Covid-19. Hiyo Royal Tour haina impact. Rais mzima anafeki kuvua samaki baharini pamoja na mwenzake yule wa visiwani. Aibu! Hata simba hapatikani kiurahisi namna hiyo mbugani kama ile movie (maana wame-act) inavyotaka kuaminisha watu.
 
Hongera na kazi wadau.

Nitumie fursa hii kueleza habari njema za Royal Tour.

Idadi ya Watalii Waliotembelea Tanzania kwa miezi 11 ya mwaka 2022 wamefikia Milioni Moja na Laki mbili(1,200,000).

Hizi Ni habari njema zikizoletwa na Royal tour na bila shaka Hadi Mwisho wa mwezi wa 12 Idadi ya Watalii itavuka 1.3Mil.

Bila Shaka huko tuendako Mambo yanaweza kuwa mazuri ikizingatia Tanzania umeweka lengo la kufikia Idadi ya Watalii mil.5 mwaka 2025.

Hongera zenu Ila bado sana kuwafikia Egypt, Morocco, South Africa nk.👇

Ripoti yako ingalipendeza zaidi kama:
1. Ungalitoa takwimu ya watalii kwa mwaka kabla ya corona ie 2018
2. Idadi ya watalii miaka ya corona ie 2019 na 2020.
3. Pesa ambazo serikali iliyopata kutokana na utalii katika vipindi hivyo vya nyuma na kipindi hiki baada ya Royal Tour.
 
Hongera na kazi wadau.

Nitumie fursa hii kueleza habari njema za Royal Tour.

Idadi ya Watalii Waliotembelea Tanzania kwa miezi 11 ya mwaka 2022 wamefikia Milioni Moja na Laki mbili(1,200,000).

Hizi Ni habari njema zikizoletwa na Royal tour na bila shaka Hadi Mwisho wa mwezi wa 12 Idadi ya Watalii itavuka 1.3Mil.

Bila Shaka huko tuendako Mambo yanaweza kuwa mazuri ikizingatia Tanzania umeweka lengo la kufikia Idadi ya Watalii mil.5 mwaka 2025.

Hongera zenu Ila bado sana kuwafikia Egypt, Morocco, South Africa nk.👇

Umeshahu kutaja takwimu za awali kabla ya Royal Tour
 
Back
Top Bottom