Royal Tour yajibu! Ndani ya miezi 11 tu watalii waliotembelea Tanzania wafikia milioni 1.2

Wazungu wameona wapi hiyo tamthilia ya royal tour na kuamua kuja Tz???

Hii nchi wapuuzi ni wengi.
 
Kabla ya hayo maigizo ya mama yako walikuwa wakija watalii wangapi kwa mwaka?
 
Hazipo. Kwa mfano, kabla ya Royal Tour, tuseme mwaka 2021, idadi hiyo ilikuwaje? Inabidi idadi hiyo tuijue ili tuweze kufanya forecast ya ongezeko hilo kwa mwaka 2023
Soma humo wameandika we vipi? Hata heading huoni hapo inasema 2019 walikuwa 1.5 mln?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…