RPC Arusha ahamasisha Raia kuendelea kusalimisha silaha

RPC Arusha ahamasisha Raia kuendelea kusalimisha silaha

Joined
May 24, 2017
Posts
11
Reaction score
14
#ARUSHA: Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Justine Masejo amewataka raia kuendelea kusalimisha Silaha zote wanazozimiliki kinyume cha sheria katika vituo vyote vya Polisi, Ofisi za Serikali za Mitaa, pamoja na Ofisi za watendaji wa Kata.

Kamanda Masejo ameyasema hayo jana Novemba 12, 2021 wakati akiongea na waandishi wa Habari kufuatia Oktoba 29, 2021 Wizara ya Mambo ya Ndani kutoa msamaha kwa kutowashtaki wote watakao salimisha Silaha zao katika zoezi hilo.

Chanzo: Serengeti Post

 
kuna mmoja kampa mwanaye kajipasua kichwa huko[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom