RPC Arusha tuoneshe homicide scene evidence ya askari aliyeuawa

RPC Arusha tuoneshe homicide scene evidence ya askari aliyeuawa

Buyaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
1,705
Reaction score
1,953
Ma RPC wana kawaida ya kuja kwenye press conference kuonyesha mabunduki ya majambazi, masimu yaliobiwa, ma cash money, mikuki, mapanga, na kuyabwaga mezani pwaaaaa.....

Sasa kuna polisi kauliwa Ngorongoro, allegedly.

KABLA hujagusa maiti na kuibeba polisi na wachunguzi duniani kote hukusanya kwanza vitu vitakavyohitajika mahakamani na pia vile vya binafsi vitakavyorudishiwa familia.

Viko wapi hivi:

MURDER SCENE PHOTOS

FINGERPRINTS

MURDER WEAPON (MSHALE)

BLOOD SAMPLES (for DNA analysis)

SERVICE WEAPON

PERSONAL EFFECTS (cellphone, wallet, military insignia, service badge, uniform, wedding bandetc etc.)
.=================

Mmedanganya kuhusu hali ya vurugu Ngorongoro, hakuna anaewaamini. Onyesheni hizi crime scene evidence.

Pia soma - RPC Arusha: Tutawatafuta Watu waliomuua askari wetu Usiku na Mchana hadi tuwatie mbaroni
 
Mwaka huu maigizo yamepewa kipaumbele sana Tanzania. Kila mtu amekuwa muigizaji, tatizo hakuna tuzo. .
 
Wabongo bhana

Umeonyeshwa picha na jeneza bado hujaridhika tu?!
kwan jeneza ndio ushahidi wa mtu kuawa? Je kama alikufa kwa sababu nyingne mbali na kuuwawa napo watu waamin kisa wameoneshwa jeneza?
 
Ma RPC wana kawaida ya kuja kwenye press conference kuonyesha mabunduki ya majambazi, masimu yaliobiwa, ma cash money, mapapanga, na kuyabwaga kwenye meza pwaaaaa.

Sasa kuna polisi kauliwa Ngorongoro, allegedly.

KABLA hujagusa maiti ya binadamu na kuibeba polisi na wachunguzi duniani kote hukusanya kwanza vitu vitakavyohitajika mahakamani na pia vile vya binafsi vitakavyopewa familia.

Polisi tuonyesheni

MURDER SCENE PHOTOS

FINGERPRINTS

MURDER WEAPON (MSHALE)

BLOOD SAMPLES (for DNA analysis)

SERVICE WEAPON

PERSONAL EFFECTS (cellphone, wallet, military insignia, service badge, uniform, wedding bandetc etc.)
.
Viko wapi vyote hivi?

Mmedanganya kuhusu hali ya Ngorongoro, hakuna anaewaamini. Onyesheni hizi crime scene evidence.

Pia soma - RPC Arusha: Tutawatafuta Watu waliomuua askari wetu Usiku na Mchana hadi tuwatie mbaroni
Kwan Kuna kanununi inayomtaka lazima atoe hvyo evidence sample!

Negotiation and mediation is key MZALENDO WA TANZANIAN.
 
Back
Top Bottom