RPC Dodoma atumbuliwa baada ya kutoa taarifa tata ya binti kulawitiwa anaweza kuwa anajiuza

Huyo bibi nasikia hajajaaliwa kupata mtoto ndio maana kuropoka kwingi kama kashiba Cuca
 
Na hii ndo picha kamiri ya Serikali ya ccm.

Anaejiuza kwani Hana haki.

Ipo siku,watalipia udhalimu wao
 
ni katika kuimarisha, kuboresha na kuongeza ufanisi wa utendaji wa serikali na taasisi za umma, mabadiliko, teuzi na tenguzi hufanyika, na si vinginevyo ama kuna Tatizo mrangi?🐒
Hakika wewe Jamaa ni kiboko ya jiwe
 
Ni hivyo mkuu, hongera Kwa kuwaza mbali
For sure mkuu sababu huyu RPC wa Dodoma kahojiwa jana au juzi,leo kimemlamba.

Wale walipiga jamaa zetu kama wezi je walitumwa.

Yule mtoto wa Mbeya aliechoma picha ya Rais?
 
Safi sana IGP
 
Hapo umekosea kidogo mbili ndio moja sasa.
 
RPC Theopista Mallya alitaka kuubeba msslaba wa afisa mwenziwe aliyetaka kusepa na kesi ya kuwakodo hao walawiti na wabskaji.
Kesi hiyo RPC Mallya kaiezeka kisawasawa mgongoni.
Hongera kwa IGP Wambura kuliona tatizo la kutaka kutumia "Girl Power" kukwepesha kesi.
 
pia IGP lione na la AWADH mshauri Rais
 
Huyu haikutakiwa kupelekwa HQ japo hakuna per diem…
Ni wa kufukuza kabisa, uwezo wake wa kufikiri ni mdogo.
Kuna vyeo ukishafika sio rahisi kufukuzwa, kazi, pia na umri unakuwa umesogea,

Hivyo unarudishwa Makao ili usubiri kustaafu, na pia pia kufanya majukumu mengine ambayo hukutani na media Mara kwa mara,

Kumbuka CCM wanawategemea sana kwenye chaguzi zijazo.
 
Yaani Huyo RPC Mallya inaoneka hajui protocol za kazi ,swala la Binti halitakiwi kutolewa maelezo na yeye ,hilo swala lipo kwa Masiime na si yeye!! Sisi kwenye protocal za kazi tuliambiwa hata kama wewe ni mfanyakazi wa kampuni X ukafatwa na waandishi wa habari kuelezea kampuni X hautakiwi kuelezea maana wewe si msemaji wa kampuni X ,wapo wenye mamlaka ya kuisemea kampuni X kwenye vyombo vya habari.

RPC Mallya hakushirikisha ubpongo wakati anaongea "utumbo" wake ,kwani hata kama wabakaji ni walevi na wavuta bangi ndiyo wana haki ya kumbaka binti? Na hata kama binti anajiuza ni sawa kubakwa?

Capacity building inahitajika kwenye kitengo cha mawasiliano ndani ya "GESHI LA POLISH".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…