Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hii ndo picha kamiri ya Serikali ya ccm.Mpumbavu sana, hivi mwanamke anayejiuza anaweza kuomba maji halafu wanaomuingilia wanamtishia kumpiga na chupa…
Madume matano yanamfi*a na mmojawapo anasikika akisema, “Zamu yangu ikifika nataka mavi”
A lot of the times, police will talk trash or “bully” because they want to play hard ili kuwafurahisha watawala. STUPIDITY
Hakika wewe Jamaa ni kiboko ya jiweni katika kuimarisha, kuboresha na kuongeza ufanisi wa utendaji wa serikali na taasisi za umma, mabadiliko, teuzi na tenguzi hufanyika, na si vinginevyo ama kuna Tatizo mrangi?🐒
Na hii 👆 title ni mwanahalisi wameandika hivi
Ni hivyo mkuu, hongera Kwa kuwaza mbaliInamaanisha IGP alibariki yale madhambibyaliyofanywa na polisi wake Mkoa wa Mbeya?
For sure mkuu sababu huyu RPC wa Dodoma kahojiwa jana au juzi,leo kimemlamba.Ni hivyo mkuu, hongera Kwa kuwaza mbali
Safi sana IGPTumeona taarifa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari kinachosema, "RPC; ANAYEDAIWA KUBAKWA NA KULAWITIWA ALIKUWA KAMA ANAJIUZA", kauli inayodaiwa kutolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma. Hayo yametokana na mazungumzo kwa njia ya simu na Mwandishi wa gazeti la Mwananchi ambaye miongoni mwa maswali aliyomuuliza kamanda (mwandishi huyo), Je upelelezi wa kesi umekamilika? na swali lingine alilomuuliza inadaiwa alikuwa anajiuza? Majibu ya kamanda aliyomjibu mwandishi huyo ni kwamba hata kama ni hivyo hangestahili kutendewa hivyo.
Pia soma>> Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza
Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa kauli hiyo kama inavyoonekana kwenye hicho kichwa cha habari siyo msimamo wa Jeshi la Polisi kauli sahihi ni kama zilivyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi kwa umma Agosti 4,6 na 9,2024. Vilevile tungependa kujulisha kuwa watuhumiwa watafikishwa mahakamani leo Agosti 19,2024.
Jeshi la Polisi lingependa kuomba radhi kwa kila mmoja aliyeguswa na kuchukizwa na kauli hiyo inayosambaa kwenye vyombo vya habari wakati ufuatiliaji ukifanyika kupata usahihi wake. Aidha wakati uchunguzi huo wa kupata usahihi wa kauli hizo, Mkuu wa Jeshi la Polisi amefanya mabadiliko madogo kwa kumhamisha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP Theopista Mallya kwenda Makao Makuu ya Polisi Dodoma na nafasi yake inachukuliwa na Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP George Katabazi.
Hapo umekosea kidogo mbili ndio moja sasa.Mwanadiwani bila shaka alikuwa.... Lizaboni wengi walimhisi ni Madelu lameck nchemba huku hamy d akidaiwa ni Mwana wa Moses wakati huo huo buku 7 from lumumba wakitumia mheko kujibu hoja... Alipoingia mwendazake magogongoni na kwenda lumumba aliwafurrumusha wote
Asante sana mimi na kaka yangu Melo tumepokea shukran zako.Sasa nimeamini jf ndio mtandao wa kuaminiwa !!
Asante Mungu Kwa akili ya mwanzilishi wa mtandao huu!
RPC Theopista Mallya alitaka kuubeba msslaba wa afisa mwenziwe aliyetaka kusepa na kesi ya kuwakodo hao walawiti na wabskaji.Tumeona taarifa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari kinachosema, "RPC; ANAYEDAIWA KUBAKWA NA KULAWITIWA ALIKUWA KAMA ANAJIUZA", kauli inayodaiwa kutolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma. Hayo yametokana na mazungumzo kwa njia ya simu na Mwandishi wa gazeti la Mwananchi ambaye miongoni mwa maswali aliyomuuliza kamanda (mwandishi huyo), Je upelelezi wa kesi umekamilika? na swali lingine alilomuuliza inadaiwa alikuwa anajiuza? Majibu ya kamanda aliyomjibu mwandishi huyo ni kwamba hata kama ni hivyo hangestahili kutendewa hivyo.
Pia soma>> Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza
Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa kauli hiyo kama inavyoonekana kwenye hicho kichwa cha habari siyo msimamo wa Jeshi la Polisi kauli sahihi ni kama zilivyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi kwa umma Agosti 4,6 na 9,2024. Vilevile tungependa kujulisha kuwa watuhumiwa watafikishwa mahakamani leo Agosti 19,2024.
Jeshi la Polisi lingependa kuomba radhi kwa kila mmoja aliyeguswa na kuchukizwa na kauli hiyo inayosambaa kwenye vyombo vya habari wakati ufuatiliaji ukifanyika kupata usahihi wake. Aidha wakati uchunguzi huo wa kupata usahihi wa kauli hizo, Mkuu wa Jeshi la Polisi amefanya mabadiliko madogo kwa kumhamisha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP Theopista Mallya kwenda Makao Makuu ya Polisi Dodoma na nafasi yake inachukuliwa na Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP George Katabazi.
Hilo la Awadh litakuwa limeua 4R once and for allBado IGP mtarajiwa Ustaadh Awadh naye tunataka apewe u IGP wake kwa kazi nzuri ya kuwapiga hadi kuwaumiza viongozi wa Chadema kwa mikono na miguu yake mwenyewe.
pia IGP lione na la AWADH mshauri RaisRPC Theopista Mallya alitaka kuubeba msslaba wa afisa mwenziwe aliyetaka kusepa na kesi ya kuwakodo hao walawiti na wabskaji.
Kesi hiyo RPC Mallya kaiezeka kisawasawa mgongoni.
Hongera kwa IGP Wambura kuliona tatizo la kutaka kutumia "Girl Power" kukwepesha kesi.
Kuna vyeo ukishafika sio rahisi kufukuzwa, kazi, pia na umri unakuwa umesogea,Huyu haikutakiwa kupelekwa HQ japo hakuna per diem…
Ni wa kufukuza kabisa, uwezo wake wa kufikiri ni mdogo.
unamaanisha jiwe walilokataa waashi limekua jiwe kuu la pembeni sio?Hakika wewe Jamaa ni kiboko ya jiwe

Good
Tangu Prof Kabudi arejeshwe Barazani Imani yangu Kwa Rais Dr Samia imekuwa ni ya kutukuka 😀😀🌹
Wewee...Good
Tangu Prof Kabudi arejeshwe Barazani Imani yangu Kwa Rais Dr Samia imekuwa ni ya kutukuka 😀😀🌹