RPC Dodoma atumbuliwa baada ya kutoa taarifa tata ya binti kulawitiwa anaweza kuwa anajiuza

Teuzi za akina Dr Mwigullu, Dr Kigwangalla, MwanaDiwani nk zote zilianzia hapa Jf

Bado Lucas na ChoiceVariable πŸ˜‚
DR Bashiru Ally kakurwa Bado huko kupewa umakam mwenyekiti!!?

Huyo ndio anaweza leta imani za wajomba zangu huko Kanda ya ziwa huko Ili 2025 tupate mserereko kushika dola!
 
Sasa nimeamini jf ndio mtandao wa kuaminiwa !!

Asante Mungu Kwa akili ya mwanzilishi wa mtandao huu!
Wanaharakati ndo wamepush hii pressure huko Facebook na twitter na si unajua kule pakichafuka serikali chap inareact maana kuna kundi kubwa sana la wanaohemuka na matukio tofauti na JF wenye akili na elimu ni wengi.
 
Imagine umelala RPC alafu uliwaambia vijana wako kesho asubuhi muende mahala flani mkafanye 1& 2 nitawapa maelekezo vizuri asubuhi, halafu asubuhi unaamka afande wa kawaida na wewe unaambiwa uwahi zamuπŸ˜…
 
Usishangae aliye watuma wale vijana na huyo Rpc ni marafiki, akaona amlinde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…