To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Uongo huoGood
Tangu Prof Kabudi arejeshwe Barazani Imani yangu Kwa Rais Dr Samia imekuwa ni ya kutukuka 😀😀🌹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo huoGood
Tangu Prof Kabudi arejeshwe Barazani Imani yangu Kwa Rais Dr Samia imekuwa ni ya kutukuka 😀😀🌹
DR Bashiru Ally kakurwa Bado huko kupewa umakam mwenyekiti!!?Teuzi za akina Dr Mwigullu, Dr Kigwangalla, MwanaDiwani nk zote zilianzia hapa Jf
Bado Lucas na ChoiceVariable 😂
Wanaharakati ndo wamepush hii pressure huko Facebook na twitter na si unajua kule pakichafuka serikali chap inareact maana kuna kundi kubwa sana la wanaohemuka na matukio tofauti na JF wenye akili na elimu ni wengi.Sasa nimeamini jf ndio mtandao wa kuaminiwa !!
Asante Mungu Kwa akili ya mwanzilishi wa mtandao huu!
Katabazi !!!?Huyu ni mjomba kabisa sio mnyambo kweli mwenye asili ya kule!!?Katabazi kutoka Manyara to Dodoma. Kufa kufaana kazi iendelee
Hiyo ni baada ya waziri ngwajima kuwasiliana na waziri wa mambo ya ndani na kutupatia mrejesho kuwa linafanyiwa kazi. hapo hakuna cha kabudi wala niniGood
Tangu Prof Kabudi arejeshwe Barazani Imani yangu Kwa Rais Dr Samia imekuwa ni ya kutukuka 😀😀🌹
Usishangae aliye watuma wale vijana na huyo Rpc ni marafiki, akaona amlinde.Safi sana. Yule mama hana akili.
Hata kama mtu anajiuza ndio abakwe hadharani na kulawitiwa na kisha kusambazwa mitandaoni?
Sheria ya cyber crime inasemaje, inakataza kusambaza maudhui ya ngono. Sheria za Tanzania zinakataza kulawiti, kufira na kusambaza maudhui ya ngono.
Yule mama hata huo u rpc aliupataje?
Only media yenye uhakika tz, the rest wanaokota habari huko pembenSasa nimeamini jf ndio mtandao wa kuaminiwa !!
Asante Mungu Kwa akili ya mwanzilishi wa mtandao huu!
Uko sahihi 💯. Waliokuwa wanamsifu "HAWAMJUI".Hakuwa na uwezo wa kuwa RPC. Jawa ndiyo hupata kazi kwa vimemo au kwa kuvua chupi
Wamerudishwa sababu ya ujio wa Nabii Mwabukusi!!Good
Tangu Prof Kabudi arejeshwe Barazani Imani yangu Kwa Rais Dr Samia imekuwa ni ya kutukuka 😀😀🌹