RPC Dodoma atumbuliwa baada ya kutoa taarifa tata ya binti kulawitiwa anaweza kuwa anajiuza

RPC Dodoma atumbuliwa baada ya kutoa taarifa tata ya binti kulawitiwa anaweza kuwa anajiuza

Safi sana,hii ni hatua njema na inayoleta matumaini kwenye hii kesi,

Sasa hivi kila muhusika kwenye hii kesi atakua makini zaidi na kutenda haki,

Hope haki itapatikana tu na watuhumiwa watahukumiwa kwa mujibu wa sheria kama wakikutwa na hatia,

Haki hua haipotei bali inaweza kuchelewa tu.
 
🎶Ulimi kiungo kidogoooo....madhara yake makubwaa 🎶🎶
 
Wiki Jana nimesoma matukio 3 ya ulawiti Kwa Watoto wadogo,huyo Gwajima Kwa nini huko hakazii?
Hapa kulikuwa na uwezekano wa kulindana na kesi ina public interest kwa sababu suspects ni wanadhaniwa ni kuwa watu wa wizara inayotakiwa kutulinda sisi na mali zetu.Hiyo ya watoto watatu unaweza ukawasilana naye kupitia vyanzo vinavyohusika.
 
Siku hizi Polisi wanajikanyaga sana ujinga umewazidi kwenye mambo ya kitaifa mpaka wanajiumbua hadharani. Nishaamua saivi hata nikiibiwa siendi Polisi tutamalizana mtaani kwenye hukumu za haki.
 
Back
Top Bottom