Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
George katabazi huyu huyu wa manyara?Unajamba seat ya mbele tunakuhamiahia seat ya nyuma. Gari hilohilo.
Sad enough ni kwamba, aliyechukua nafasi yake ni George Katabazi. Aliyekuwa RPC wa manyara, aliyesimamia kesi ya aliyemuingizia chupa kijana wa kiume makaliona.
#COYG
Mimi ni aina ya watu Kama JPM sija angalia video Ila nimekua msomaji na mfuatiliaji wa hii saga kupitia JF na pia redion wasafi mediaTumeona taarifa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari kinachosema, "RPC; ANAYEDAIWA KUBAKWA NA KULAWITIWA ALIKUWA KAMA ANAJIUZA", kauli inayodaiwa kutolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma. Hayo yametokana na mazungumzo kwa njia ya simu na Mwandishi wa gazeti la Mwananchi ambaye miongoni mwa maswali aliyomuuliza kamanda (mwandishi huyo), Je upelelezi wa kesi umekamilika? na swali lingine alilomuuliza inadaiwa alikuwa anajiuza? Majibu ya kamanda aliyomjibu mwandishi huyo ni kwamba hata kama ni hivyo hangestahili kutendewa hivyo.
Pia soma>> Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza
Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa kauli hiyo kama inavyoonekana kwenye hicho kichwa cha habari siyo msimamo wa Jeshi la Polisi kauli sahihi ni kama zilivyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi kwa umma Agosti 4,6 na 9,2024. Vilevile tungependa kujulisha kuwa watuhumiwa watafikishwa mahakamani leo Agosti 19,2024.
Jeshi la Polisi lingependa kuomba radhi kwa kila mmoja aliyeguswa na kuchukizwa na kauli hiyo inayosambaa kwenye vyombo vya habari wakati ufuatiliaji ukifanyika kupata usahihi wake. Aidha wakati uchunguzi huo wa kupata usahihi wa kauli hizo, Mkuu wa Jeshi la Polisi amefanya mabadiliko madogo kwa kumhamisha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP Theopista Mallya kwenda Makao Makuu ya Polisi Dodoma na nafasi yake inachukuliwa na Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP George Katabazi.
Ofisi ndio zimebadilishwa kama alikuwa kariakoo kwa sasa yuko MagomeniAliyeelewa mabadiliko yaliyofanywa anielewesha kwa jinsi nilivyosoma mbona huyo RPC ni kama kabadilishiwa tu sehemu ya kazi?🤔
Ila anaenda kusoma Tu magazeti, Hana athari kwa jamii tenaAliyeelewa mabadiliko yaliyofanywa anielewesha kwa jinsi nilivyosoma mbona huyo RPC ni kama kabadilishiwa tu sehemu ya kazi?🤔
Mdomo ni kisemeo tu, bali ukosa akili ndio umemponzaMdomo umemponza..
ni heri angesema "bado uchunguzi unaendelea", kama wafanyavyo wengine..
ngoja arudi makao akasome magaazeti sasa.
In summaryGood
Tangu Prof Kabudi arejeshwe Barazani Imani yangu Kwa Rais Dr Samia imekuwa ni ya kutukuka 😀😀🌹
Halafu watu tunashangilia! Kweli Watz ni mbumbumbuOfisi ndio zimebadilishwa kama alikuwa kariakoo kwa sasa yuko Magomeni
Police kama huyo asiwe na athari kwa jamii labla si kwa Tanzania hiiIla anaenda kusoma Tu magazeti, Hana athari kwa jamii tena
Hata kama!Ila anaenda kusoma Tu magazeti, Hana athari kwa jamii tena
Hapo ndio wamemaliza yaani kifupi wamefanikiwa kuuwa ndege wawili kwa jiwe moja.Halafu watu tunashangilia! Kweli Watz ni mbumbumbu
Hii kesi haiendi popote! Pole kwa binti nasisi tuliobaki tujifunzeHapo ndio wamemaliza yaani kifupi wamefanikiwa kuuwa ndege wawili kwa mmoja.
Kwa nini kodi zetu zimlipie police kama huyoHata kama!
Mpumbavu sana, hivi mwanamke anayejiuza anaweza kuomba maji halafu wanaomuingilia wanamtishia kumpiga na chupa…Ilitakiwa kufukuzwa kazi na kumshtaki mahakamani.
Hii ndo ile hatuko salama kwa viongozi dizain hii.
Mfumo wa CCM umeoza hauna jipya.
Wanapwaya.
Wenye uwezo wa nafasi nyingi za utendaji,wanasota mitaani.
Vilaza vya baba kanituma ndo yamejazana kwenye ofisi za umma.
Serikali inazidiwa na secta binafsi ktk utendaji.
Secta binafsi,wako active kwa Kila jambo,hakuna janja janja.
Ifikie hatua,serikali ufanye kazi kwa watumishi kwa mikataba ya mda mfupi.
Mtu unaendabkusoma VETA udereva.
Anaweza akapewa gari,ila haijalishi una gari au huna.
Leseni yako Kuna mda inatakiwa ukairenew.Secta binafsi,unafanya kazi k2a mikatabq.inatakiwa serikqlini iwe Ivo.
Ndi maana wanasiasa wanacheza na mda maana kazi zao au vyeo vyao ni vya mda.
Haki inapatikana mbinguni pekee ila sio kwenye hili bara la giza.Hii kesi haiendi popote! Pole kwa binti nasisi tuliobaki tujifunze
Ndio hizi reshuffle mbovu mnazofanya za wakurupukaji and an arrogant RPC??ni katika kuimarisha, kuboresha na kuongeza ufanisi wa utendaji wa serikali na taasisi za umma, mabadiliko, teuzi na tenguzi hufanyika, na si vinginevyo ama kuna Tatizo mrangi?🐒