Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Shule hiyo ipo Bunda Vijijini mkoani Mara, tukio limetokea Agosti 19, 2026.
Taarifa ya awali ~ Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Makongoro - Bunda Vijijini amefariki yadaiwa ni baada ya kuchapwa na Walimu 30