RPC Mara Salum Ramadhan Morcase ni mchapa kazi haswa

RPC Mara Salum Ramadhan Morcase ni mchapa kazi haswa

Mi bishoo tu

Senior Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
122
Reaction score
294
Nina miaka sasa zaidi ya 10 katika mkoa wa Mara.

Katika kipindi chote hicho nimeshuhudia makamanda wengi wa polisi wa huu mkoa wanavyowajibika ila kwa huyu mkoa umepata kamanda haswa! Anasikiliza matatizo ya Wananchi na kuyafanyia kazi haraka iwezekanavyo.

Halewi madaraka, ni mtu haswa,sitoshangaa siku Moja akija kuwa IGP.Wanamara tumpeni ushirikiano RPC wetu.
 
Back
Top Bottom