RPC Mtwara hatakiwi kuwa kazini kwa uzembe aliofanya

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Moja ya kituko jeshi la polisi ni kua RPC alikua anashiriki kuwaokoa wauaji lakini mbele ya safari watu wakubwa nchini wakakomalia issue na kwa aibu akapiga U turn.

Yule RPC kimaadili hatakiwi kuendelea kuwa RPC hata kwa dakika tano maana nae ni mtuhumiwa na uchunguzi ufanyike haraka apate stahiki yake.

Jeshi la polisi hasa IGP inabidi uchukue hatua kali dhidi ya msaidizi wako huyo wa mkoani Mtwara ili haki itendeke.

Kuna askari waadilifu kwenye jeshi la polisi lakini kuna askari ni majambazi wakubwa ndani ya jeshi la polisi yaani kula rushwa wanaona haitoshi wanaamua kuteka na kuua raia wema.

Kama walinzi wanaiba hii ndio mwanzo wa hali mbaya ya usalama nchini.

Pia soma
 
Yaani umeandika as if tupo kijiweni tukipeana michapo! na wote tukiwa tunalifahamu hilo tukio kwa kina.

Hebu jazia jazia nyama bhana ili na sisi wenzako tupate picha halisi ya namna huyo RPC alivyotaka kuwalinda hao watuhumiwa na baadaye kupiga hiyo ↪️

By the way, polisi kulindana ni jadi yao. Hata kwenye tukio la kuuwawa kwa wafanyabiashara wa madini kutoka Mahenge, pia walijitahidi sana kulindana.
 
You've to be very clear and precise.

Umeandaki kama vile kila mtu anajua alichofanya huyo RPC
 
Ongea kwa sauti tusikie mbona unakuwa kama wote tuko kwenye akili yako

Yaani umeandika as if tupo kijiweni tukipeana michapo! na wote tukiwa tunalifahamu hilo tukio kwa kina.

Hebu jazia jazia nyama bhana ili na sisi wenzako tupate picha halisi ya namna huyo RPC alivyotaka kuwalinda hao watuhumiwa na baadaye kupiga hiyo ↪️

By the way, polisi kulindana ni jadi yao. Hata kwenye tukio la kuuwawa kwa wafanyabiashara wa madini kutoka Mahenge, pia walijitahidi sana kulindana.

You've to be very clear and precise.

Umeandaki kama vile kila mtu anajua alichofanya huyo RPC
... someni hizo:-

Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Mtwara: Askari Polisi mmoja kati watuhumiwa 7 wa mauaji ya mfanyabiashara akutwa mahabusu akiwa amejinyonga
 
Moja ya kituko jeshi la polisi ni kua RPC alikua anashiriki kuwaokoa wauaji lakini mbele ya safari watu wakubwa nchini wakakomalia issue na kwa aibu akapiga U turn.

Yule RPC kimaadili hatakiwi kuendelea kua RPC hata kwa dakika tano maana nae ni mtuhumiwa na uchunguzi ufanyike haraka apate stahiki yake.

Jeshi la polisi hasa IGP inabidi uchukue hatua kali dhidi ya msaidizi wako huyo wa mkoani mtwara ili haki itendeke.

Kuna askari waadilifu kwenye jeshi la polisi lakini kuna askari ni majambazi wakubwa ndani ya jeshi la polisi yaani kula rushwa wanaona haitoshi wanaamua kuteka na kuua raia wema.

Kama walinzi wanaiba hii ndio mwanzo wa hali mbaya ya usalama nchini.
Jeshi la policeccm ni genge la majambazi,angalia shahidi jumanne kwenye kesi ya mbowe,yeye ndio alisuka mpango wa kumuwekea pembe profesa maenda na kuchukua kwake zaidi ya 75m...alipaswa kua magereza ila kwa vile ndio kawaida yao kulindana eti leo yuko dar anatoa ushahidi wa michongo
 
IGP na Waziri wa Mambo ya Ndani wangeonyesha mfano. Aibu tupu Jeshi hili sasa hivi. Sijui hao niliowataja wanafanya nn ofisini?
 
Sio hawa makada wa mbogamboga waliovaa magwanda ya police,kipindi cha jpm watu wameuawa sana n kufungwa kwenye viroba...hukuwahi kumsikia jpm akikemea au kuongelea hilo jambo na siro ndio alikua IGP
 
Kumbe move aliyofanya RPC ni baada ya vigogo kukomalia ishu, basi hiyo syndicate nzima inabidi waingizwe..........inasikitisha sana polisi kuwa sehemu ya uhalifu kwenye jamii. Nilishasema humu, reform kubwa ifanyike jeshi la polisi kwa kuanza na recruitment ya graduates wenye first degree ili kujenga zaidi weledi wa kiutendaji...........saa hivi graduates wenye first degree wamejaa mtaani hawana ajira, kwa nini tusiwachuke hawa wapate mafunzo ya uaskari.
 
Moja ya kituko jeshi la polisi ni kua RPC alikua anashiriki kuwaokoa wauaji lakini mbele ya safari watu wakubwa nchini wakakomalia issue na kwa aibu akapiga U turn.

Yule RPC kimaadili hatakiwi kuendelea kuwa RPC hata kwa dakika tano maana nae ni mtuhumiwa na uchunguzi ufanyike haraka apate stahiki yake.

Jeshi la polisi hasa IGP inabidi uchukue hatua kali dhidi ya msaidizi wako huyo wa mkoani Mtwara ili haki itendeke.

Kuna askari waadilifu kwenye jeshi la polisi lakini kuna askari ni majambazi wakubwa ndani ya jeshi la polisi yaani kula rushwa wanaona haitoshi wanaamua kuteka na kuua raia wema.

Kama walinzi wanaiba hii ndio mwanzo wa hali mbaya ya usalama nchini.

Pia soma
Kwa akili yako unaamini kwamba IGP hakumjulisha hili jambo mapema? Thubutu! Mbona na yeye angekuwa mahabusu.
 
Hatuna majeshi ndugu zangu, sio polisi, uhamiaji, jw nk Ni vile tu hatujawahi pata changamoto za kiusalama kama wenzetu Kenya na Uganda.
 
Moja ya kituko jeshi la polisi ni kua RPC alikua anashiriki kuwaokoa wauaji lakini mbele ya safari watu wakubwa nchini wakakomalia issue na kwa aibu akapiga U turn.

Yule RPC kimaadili hatakiwi kuendelea kuwa RPC hata kwa dakika tano maana nae ni mtuhumiwa na uchunguzi ufanyike haraka apate stahiki yake.

Jeshi la polisi hasa IGP inabidi uchukue hatua kali dhidi ya msaidizi wako huyo wa mkoani Mtwara ili haki itendeke.

Kuna askari waadilifu kwenye jeshi la polisi lakini kuna askari ni majambazi wakubwa ndani ya jeshi la polisi yaani kula rushwa wanaona haitoshi wanaamua kuteka na kuua raia wema.

Kama walinzi wanaiba hii ndio mwanzo wa hali mbaya ya usalama nchini.

Pia soma
Anaweza kupata na Promotion hii ni TANGANYIKA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom