GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Nina Upendo, Huruma, Mpole na Mkarimu sana kuliko vile ambavyo labda Watu wengi wanadhani" amesema RPC Kamanda Muliro Asubuhi hii akizungumza katika Kipindi Bora cha Jumapili cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ambacho Mimi GENTAMYCINE ni Balozi wake Mkuu na wa Kujiteua Mwenyewe.
Kamanda RPC Muliro Binafsi ambaye nakujua tokea ukiwa pale Central ( hasa kile Kitengo fulani ambacho Kimaadili nakihifadhi ) nitakuwa wa mwisho Kukuamini.
Kamanda RPC Muliro Binafsi ambaye nakujua tokea ukiwa pale Central ( hasa kile Kitengo fulani ambacho Kimaadili nakihifadhi ) nitakuwa wa mwisho Kukuamini.