PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Atasema huwa anajiingiza sex toysKama daktari alithibitisha alilawitiwa, na kwa kuwa ulawiti ni jinai, ajiandae kwenda jela asipomtaja huyo aliyemlawiti.
Pona yake, atoe ushirikiano kwa vyombo vya dola na ushahidi wake uwe aliingiliwa bila ridhaa yake maana ulawiti hauna cha kukubaliana.