RPC Mutafungwa: Mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya Jinai kwa Sababu Mshtaki ni Jamhuri yeye anakuwa shahidi tu!

RPC Mutafungwa: Mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya Jinai kwa Sababu Mshtaki ni Jamhuri yeye anakuwa shahidi tu!

DNA ya sex toys ikoje boss? Au Dr. Nawanda ni toy nowadays? Kuna uongo mwingine badala ya kukusaidia unajiingiza kingi mwenyewe!
Sasa DNA ikapimwe leo kwa tukio la wiki kadhaa zilizopita? Kumbuka katika taarifa ya Polisi ni kwamba uchunguzi wao utahusisha kumpima kama aliingiliwa, siyo DNA kwani tangu hilo tukio hakuwahi kusafisha mwili wake?
 
Kuhusu Barua inayodaiwa kuandikwa na bint aliyelawitiwa RPC Mutafungwa amesema barua hiyo haijawafikia na Kwamba mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya jinai kwa Sababu mshtaki ni Jamhuri

Jumaa Mubarak 😀

Ispokuwa DPP anaweza kuonyesha nia ya kuto endelea na kesi hivyo kufutwa. Inabidi RC mstaafu ajichekeshechekeshe kwa kwa DPP ili kesi ifutwe.Mambo ya sheria magum kuyaelewa.
 
Shetani ni roho hatari sana. Anatumia kila mbinu kukuonyesha jicho ni kiti kitamu, anakupa jicho unakula mara kadhaa. Dakika mbaya kabisa anakuumbua unaharibikiwa. Pole sana Yahaya
32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
33 Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala fedheha yake haitafutika.( Mith 6:32-33)
 
Sasa DNA ikapimwe leo kwa tukio la wiki kadhaa zilizopita? Kumbuka katika taarifa ya Polisi ni kwamba uchunguzi wao utahusisha kumpima kama aliingiliwa, siyo DNA kwani tangu hilo tukio hakuwahi kusafisha mwili wake?
Uko kizamani sana! Unaijua DNA unaisikia? Kasome stori ya Monica Lewinsky kisha urudi hapa!
 
Akiharibu kesi naye si atakuwa na kesi ya kutoa taarifa za uwongo polisi au pia kosa la kuruhusu kulawitiwa maana kapimwa kakutwa kweli kaingiliwa kinyume cha maumbile, kibao kitamgeukia in either way itakuwa funzo kwa mashahidi wengine wanaonunuliwa na watuhumiwa.
Tushasahau gari la mbunge kukamatwa akibeba wahamiaji haramu, tunahangaika na mtu 1 aliyetoa 'TIGO' kwa hiari, kweli nimeamini wa TZs ni Mburula tehe tehe tehe🙋🤣🤣
 
Uko kizamani sana! Unaijua DNA unaisikia? Kasome stori ya Monica Lewinsky kisha urudi hapa!
Inawezekana nipo kizamani sana, ila ukumbuke issue ya Monica Lewinsky na Bill Clinton ni tofauti kabisa na hii.
Ile ilikuwa ni uchunguzi wa madoa kwenye nguo, wakati hii unatafuta ushahidi kwenye mwili wa mtu, ina maana kwa wiki zote mbili au hata moja mwili utakuwa bado una madoa ya mbegu za Yahaya?
 
Tushasahau gari la mbunge kukamatwa akibeba wahamiaji haramu, tunahangaika na mtu 1 aliyetoa 'TIGO' kwa hiari, kweli nimeamini wa TZs ni Mburula tehe tehe tehe🙋🤣🤣
Serikali pendea inayojali wanamchi, imewaandalia wananchi mjadala juu ya Tigo. Mjadala pendwa kabisa.
Nani aliwahi kufikiri kuna siki serikali itawaandalia mjadala juu ya ulaji Tigo na kuwaacha wajadili kwa furaha na Uhuru huku Yahaya akiwa ametulia zake rest house?
Mitano tena kwa mama.
 
Ina maana kipimo cha baada ya wiki mbili kitakuwa kinatafuta wazungu kwenye kijambio? Hivi kwa kuzisoma hizo taarifa walizotoa Polisi hamuona kabisa kuwa hilo swala limeshawekewa mazingira ya kulitupilia mbali kwa ushahidi dhidi ya Yahaya kukosekana?
In short mazingira waliyofanyia huo mchezo; I mean siti ya gari hata baada ya miaka 10 DNA ikichukuliwa hapo inatema live bila chenga!

DNA ni namba nyingine achana nayo. Rais Bill Clinton alitiwa hatiani baada ya tone la maji maji ya mwili aka mbegu zake za kiume kuonekana kwenye nguo ya Monika Lewinsky miaka kadhaa baadaye! DNA ni balaa!
 
Inawezekana nipo kizamani sana, ila ukumbuke issue ya Monica Lewinsky na Bill Clinton ni tofauti kabisa na hii.
Ile ilikuwa ni uchunguzi wa madoa kwenye nguo, wakati hii unatafuta ushahidi kwenye mwili wa mtu, ina maana kwa wiki zote mbili au hata moja mwili utakuwa bado una madoa ya mbegu za Yahaya?
Haina utofauti wowote! Jiulize kwanini gari ya Dr. Nawanda imezuiliwa Polisi. Wakichukua madoa hapo kwenye siti DNA itawaumbua live!
 
Inawezekana nipo kizamani sana, ila ukumbuke issue ya Monica Lewinsky na Bill Clinton ni tofauti kabisa na hii.
Ile ilikuwa ni uchunguzi wa madoa kwenye nguo, wakati hii unatafuta ushahidi kwenye mwili wa mtu, ina maana kwa wiki zote mbili au hata moja mwili utakuwa bado una madoa ya mbegu za Yahaya?
Mbegu za Mhe. Yahaya ni indelible. Anaonewa lkn, basi tu.
 
Back
Top Bottom