The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Anaandika Hilda Newtown kutoka ukurasa wake wa X-TWITTER...
Sasa maandamano haya kwa MaRPC na Wakuu wa Wilaya nchini, wao wakaigeuza kuwa fursa ya kutapeli Wafanyabiasha wenye Maduka pamoja na wamiliki wa Petrol Stations.
Kila wilaya hasa zile ambazo zipo kwenye maeneo ambayo kuna muamko mkubwa wa Wananchi juu ya kudai mabadiliko wamekamuliwa pesa kwa lazima kwa mabadilishano ya eti Polisi walinde biashara zao 24hrs.
Mfano kwa hapa Dar es salaam tu maRPC na maOCD waliwaita Wamiliki wa Petrol Station zote kisha wakawambia lazima kila mmiliki wa Petrol Station atoe milioni tano (5, 000, 000) kwa ajili ya ulinzi siku ya Maandamano ya 7/7 yani Leo eti ili wasichomewe vituo vyao so Wamiliki wa Petrol Station kila mmoja katoa milioni 5 ambazo walikuwa wanakusanya maRPC na maOCD.
Wakati huo Wakuu wa Wilaya zilipo Dar es salaam wamechukua laki moja moja (100,000) kutoka kwa wamiliki wa Maduka yote yaliyopo kwenye Wilaya zao, kwa kisingizio kwamba watawapa ulinzi wa Askari wenye bunduki ili walinde madukani yao.
Huu mkeka nilioweka hapa, hawa ni baadhi ya Wafanyabiash wenye Maduka ya Jumla Manzese ambao wamekamuliwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo.
Na nyie wafanyabiashara saa nyingine ni miyeyusho sana hivi unakubalije kutoa pesa ya rushwa ili ulindwe wakati Polisi wanalipwa mishahara kwa kazi yao hiyo ya kikatiba na kisheria yaani kulinda usalama wa raia na mali zao??
Nyie ndio mnawawezesha wahalifu hawa kuendelea kuharibu nchi na taifa letu. Amkeni, wekezeni kwenye mabadiliko ya kweli yanayopiganiwa na CHADEMA Ili muwe huru na salama kufanya biashara zenu na Polisi wakitimiza wajibu wao wa kisheria na kikatiba, yaani - kulinda usalama wa raia na mali zao
Na kama hii ni kweli, basi hali ya usalama wetu Tanzania ni mbaya sana. Kwamba sasa tunatakiwa kuwapa rushwa/hongo Polisi ili watende wajibu wao wa kikatiba na kisheria wa kulinda usalama wa raia na mali zao huku sisi wananchi tukiwalipa mishahara minono kwa Kodi zetu..
Kama mpaka hapa juna mtu wa anashangaa kwa Aliko Dangote na Foreign Investors wengine kuogopa kuwekeza mitaji yao Tanzania, basi aweza kuwa jibu sasa ni kwanini....
Hebu fikiri. Ni mwekezaji gani makini na anayejali anaweza kuwekeza mtaji wake katika mazingira ya nchi ambayo ni almost lawless, yaani polisi ni mpaka wahongwe/wapewe rushwa na raia ili watimize wajibu wao wa kikatiba wa kulinda usalama wa raia na mali zao...?
Hata hiki kilichoitwa maandamano ya sabasaba kumbe ilikuwa ni mradi wao tu wa kujipatia pesa kwa njia haramu. Wamezagaa mitaani utadhani wanafanya kazi kweli kumbe wako kuiba na kupiga deal za pesa tu...
Shame on them, shame on this stupid government..
==================
Baada ya Gen-Z kutangaza Maandamano ya Amani ya 7/7 #77Tunatoka.Sasa maandamano haya kwa MaRPC na Wakuu wa Wilaya nchini, wao wakaigeuza kuwa fursa ya kutapeli Wafanyabiasha wenye Maduka pamoja na wamiliki wa Petrol Stations.
Kila wilaya hasa zile ambazo zipo kwenye maeneo ambayo kuna muamko mkubwa wa Wananchi juu ya kudai mabadiliko wamekamuliwa pesa kwa lazima kwa mabadilishano ya eti Polisi walinde biashara zao 24hrs.
Mfano kwa hapa Dar es salaam tu maRPC na maOCD waliwaita Wamiliki wa Petrol Station zote kisha wakawambia lazima kila mmiliki wa Petrol Station atoe milioni tano (5, 000, 000) kwa ajili ya ulinzi siku ya Maandamano ya 7/7 yani Leo eti ili wasichomewe vituo vyao so Wamiliki wa Petrol Station kila mmoja katoa milioni 5 ambazo walikuwa wanakusanya maRPC na maOCD.
Wakati huo Wakuu wa Wilaya zilipo Dar es salaam wamechukua laki moja moja (100,000) kutoka kwa wamiliki wa Maduka yote yaliyopo kwenye Wilaya zao, kwa kisingizio kwamba watawapa ulinzi wa Askari wenye bunduki ili walinde madukani yao.
Huu mkeka nilioweka hapa, hawa ni baadhi ya Wafanyabiash wenye Maduka ya Jumla Manzese ambao wamekamuliwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo.
Na nyie wafanyabiashara saa nyingine ni miyeyusho sana hivi unakubalije kutoa pesa ya rushwa ili ulindwe wakati Polisi wanalipwa mishahara kwa kazi yao hiyo ya kikatiba na kisheria yaani kulinda usalama wa raia na mali zao??
Nyie ndio mnawawezesha wahalifu hawa kuendelea kuharibu nchi na taifa letu. Amkeni, wekezeni kwenye mabadiliko ya kweli yanayopiganiwa na CHADEMA Ili muwe huru na salama kufanya biashara zenu na Polisi wakitimiza wajibu wao wa kisheria na kikatiba, yaani - kulinda usalama wa raia na mali zao
=================
==================
MY COMMENTS: