RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

Tatizo ,pale hakuna kiungo....Kanoute amezidiwa....changamotto ,hata pale Sub hakuna Kiungo😤😤😤😤
 
Hili tatizo la Simba kupoteza mpira hovyo linataka kuwa sugu, kwenye mechi zote za CAF sijaona simba ikipiga hata pass 10 zinazofika.

Leo tumekosa mipango ya kufika mbele kabisa, tusubiri la tatu na nne hapa.!
 
Back
Top Bottom