RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

Nimekumbuka falsafa za uchebe kwenye hii stage, ukishapigwa moja maana yake umepoteza pts 3 kwahiyo inakosekana maana ya kujilinda.

Hapa hata tukipigwa 3 4 5 tunapoteza points zilezile, tunatakiwa tutoke nyuma.

Au mnasemajee ndugu zangu??
 
Tatizo ,pale hakuna kiungo....Kanoute amezidiwa....changamotto ,hata pale Sub hakuna Kiungo[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]

Haya ndio mambo urusi hatakagi kuyasikia kosa ukamweleze kocha wenu wewe unayaleta huku
 
Nimekumbuka falsafa za uchebe kwenye hii stage, ukishapigwa moja maana yake umepoteza pts 3 kwahiyo inakosekana maana ya kujilinda.

Hapa hata tukipigwa 3 4 5 tunapoteza points zilezile, tunatakiwa tutoke nyuma.

Au mnasemajee ndugu zangu??

Sio Kwa Huyu Mpumbavu. Simba Msimu Huu Tunapoteza Kila Kitu kwasababu Ya Jeuri, Wachezaji wamekaa Njee siku 10 siku zote hizo wanalipwa Lakini wanacheza kama Wametoka Kucheza Jana
 
Back
Top Bottom