Mara Ya Pili Beki Zetu Hazirukiii Kabisaaa
Kwani zinamabawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara Ya Pili Beki Zetu Hazirukiii Kabisaaa
Vipi mkeo unaye hapo?!Yaani naona raha sana mnavyo geuka makocha hahahaha
Kwa mkapa, Manungu, Kagera, Sokoine nkYanga wajanja wapi?
Labda mnashinda njaaTunashinda 2-1
Yani nyoni ndo hana msaada wowote wamtoe tu boraKina Kanute pale kati hawaonekani kabisa. At least Sakho anapambana
Na huo ndio mwisho wa gunduAsanteni Kwa Leo Naishia Hapo Kwa Updates.
Kila La Kheri Berkane.
Inafunguka banahMkuu hii link haifunguki
Utopolo mmevamia uzi...Asanteni Kwa Leo Naishia Hapo Kwa Updates.
Kila La Kheri Berkane.
Tatizo ,pale hakuna kiungo....Kanoute amezidiwa....changamotto ,hata pale Sub hakuna Kiungo[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Leo ni maumivu tu na Maumivu yakizidi muone daktariMpuuzi kqeli wewe...hujui mpira
Kocha mshamba huyu ...anamwachaje chama nje
Wasije tu kupigwa nyingi wakaleta aibu kwa taifaSo sad
Hamna timu hapo kuna wavuta bange tu akina inongaTunacheza kinyonge sana
Nimekumbuka falsafa za uchebe kwenye hii stage, ukishapigwa moja maana yake umepoteza pts 3 kwahiyo inakosekana maana ya kujilinda.
Hapa hata tukipigwa 3 4 5 tunapoteza points zilezile, tunatakiwa tutoke nyuma.
Au mnasemajee ndugu zangu??
Hamna Gundu Ni Uwezo Tu Cheza Mpira Weka Mipango Pia Wachezaji Waachaze Kubweteka Wajitume Kwa Morali.Na huo ndio mwisho wa gundu
Mke ndo huyu kaenda moroco huku nilibaki na bi mdg nimempiga 3 leo namsubiri mke apigwe 4 swafiiiiVipi mkeo unaye hapo?!