Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Na bado mpaka mtatia huruma.Tumepigwaa
Mtapigwa mkono...shaur yenyuu...😭😭😭Nyie Utopolo mlikuwa wapi kukaza mkapigwa mbele na nyuma
Na bado mnaongezwa 2Tumepigwa Tenaaa
Yaani naona raha sana mnavyo geuka makocha hahahahaTatizo ,pale hakuna kiungo....Kanoute amezidiwa....changamotto ,hata pale Sub hakuna Kiungo😤😤😤😤
Aletewe na shishaKipa wa berkane apewe kiti akae kabisa
Hii ndio Simba tunayoifahamu, vimechi vya nyumbani mara mhonge marefa na ujanja ujanja mwingi.Tunacheza kinyonge sana