RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

Mpira umeisha. Simba watarudi nyumbani sasa
 
Benchi la ufundi la Simba ndio limeifungisha timu. Wamefanya upumbavu kwenye chaguzi ya wachezaji na namna ya timu itakavyocheza.
 
Shot on target 0
Off target 2 tena hizi zimepigwa kipindi cha pili

Alafu kuna makolo wametulia walitarajia eti wangerudisha hizi goli

 
Berkane watabidi wajilaumu wenyewe kwa kupata goli mbili pekee wakati wachezaji wa Simba wamefanya makosa mengi mno, yaliyopelekea magoli ya wazi (Manula na Inonga wamechomesha) na pia Simba imecheza chini ya kiwango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…