RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

Mpira umeisha. Simba watarudi nyumbani sasa
 
Benchi la ufundi la Simba ndio limeifungisha timu. Wamefanya upumbavu kwenye chaguzi ya wachezaji na namna ya timu itakavyocheza.
 
Simba yako na takwimu za leo
Haha unafananisha mlima kilimanjaro na kitonga? Yanga usiiongelee kwenye mashindano ya wanaume wqbaki huko huko nyumbani kwenye makareti
BeautyPlus_20220227235515543_save.jpeg
 
Shot on target 0
Off target 2 tena hizi zimepigwa kipindi cha pili

Alafu kuna makolo wametulia walitarajia eti wangerudisha hizi goli

Sm.jpg
 
Berkane watabidi wajilaumu wenyewe kwa kupata goli mbili pekee wakati wachezaji wa Simba wamefanya makosa mengi mno, yaliyopelekea magoli ya wazi (Manula na Inonga wamechomesha) na pia Simba imecheza chini ya kiwango.
 
Back
Top Bottom