OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Shabiki andazi. Unadhani unacheza na Pamba CCM kirumba?Hapa kwa Pablo tukubali kuwa tumepigwa!! Yaani anaanzaje kumuacha nje morrisson, kagere na mhilu halafu anawaanzisha kina nyoni na boko...hivi kulikuwa na haja gani ya kuchezesha mabeki watano kwenye mechi ya leo..??
Tungekuwa tunacheza na Al ahly pale Cairo si angechezesha hata mabeki 8 ,kiungo mmoja na mshambuliaji mmoja!?
Unatumia kigezo kipi kusema so wazuri broh 2018 wamefika quarter-final 2019 wamefika final na 2020 wamechukua ilo kombe how comes unai undermine team kama hiyo
Bongo bado sana, ndiyomaana huwa sijitesi kuhangaika na ushabiki kindaki ndaki wa hapa TZ, ili nisife mapema kwa presha.Bahati mbaya jana baada ya kutoka kuangalia game ya Liverpool na Chelsea game ambayo ilionyesha mpira unavyotakiwa kuchezwa na baadae kurudi kuangalia huku kinachoendelea basi na usingizi ukawa unakuja ni kama umetoka kuangalia Ertugrul halafu ukahamia Bongo movie. Mpira unachezwa na wengine jana nimekubali.
Nadhani hatuelewani mkuu. Tugange yajayo.Sasa naona umeanza kuelewa umuhimu wa Ile backthree pale nyuma eeh ?? Mechi za ugenini hazichezwi kama hivyo unavyofikiri mkuu. Kwa uwezo mkubwa wa washambuliaji wa Berkane alafu tungecheza kama tulivyo cheza nawale wa Niger tungeaibika zaidi Leo
Asante kwa mchango wako. Nashukuru sana.KaUlitaka acheze nani ilhal ,viungo wote ni majeruhi!?
Acheni udwanzi....wanaume wamepigwa wanasimama maisha yanadonga...Robo fainali ni lazima!
Huo ndio uhalisia yani kwa saizi timu yeyote lazima i fight kuhakikisha haipotezi mechi za nyumbaniWatu wanaongea tu hawaangalii uhalisia jamani kila mtu anashinda nyumbani kwake we ukifanikiwa kuokota ata point Moja ugenini we kidume. Leo MIMOSSA Kilicho mkuta haamini kabisa na Berkane vile vile wawe makini na hao jamaa pale Niger sio sehemu salama pale wasipo kuwa makini watakufa pale na huku Kwa mkapa wajipange
Ndo maana nakuambia waliamua kuwa Kolo sio kwamba hiyo timu ilikuwa na maajabu.Kiukweli sijaona possibility ya simba kuweza kufunga goli kwenye game ya leo
Kama chance tu yakuweza ku hold mpira kwa sekunde 30 bila kupokwa na mpinzani haikuwepo, hiyo nafasi ya kuweza kufunga ingesababishwa na kitu gani?
Labda penati
Nikweli ila kocha wenu ndiyo anawajua wachezaji wenu boraAzpilicueta leo kakaa benchi kwenye fainal
Mama utopolo kaeni nyumbani mlee watoto. Hiyo ni Kazi ya wanaume nyie hamuiwezi. Rivers utd timu changa kabisa iliwatia nyuma na mbele..Halafu leo mnaleta stori zisizo na Maana.Tusiendelee kudanganyana. Hizi timu za hili kundi ni za kawaida sana. Sidhani kama kuna mojawapo inaweza kupata japo SARE kwa Yanga
Kwani kule Nigeria kwa rivers mlienda kufanya nini?hivi huko morroco mlikwenda kufanyeje?
Hii mechi simba hatufungwi hata tukicheza na watoto wa waganga
Kabisa Tena safu ya ushambuliaji hawafai.Simba tatizo si kocha tatizo ni wachezaji wetu
acha utani mtakwenda wapi kiwango chenu cha mpira, hampiti hata kwa mbeleko.Simba Kiungo Hamnaa. Tukileta Utani Hili Kundi Hatuendi Popote