OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Shabiki andazi. Unadhani unacheza na Pamba CCM kirumba?Hapa kwa Pablo tukubali kuwa tumepigwa!! Yaani anaanzaje kumuacha nje morrisson, kagere na mhilu halafu anawaanzisha kina nyoni na boko...hivi kulikuwa na haja gani ya kuchezesha mabeki watano kwenye mechi ya leo..??
Tungekuwa tunacheza na Al ahly pale Cairo si angechezesha hata mabeki 8 ,kiungo mmoja na mshambuliaji mmoja!?