RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

Dah! Makolo wanapigwa cha pili hapa! Yaani kama Kagera sugar vile. Muda wote wanashambuliwa wao tu.

Mpaka dk ya 90 si watapigwa 5 hawa!
 
Mipira ya kufa nadhani kocha hakuliangalia hili
 
Back
Top Bottom