changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Waninafsi sana ya kila mmoja kutaka kufungaWanakera sana,Makolo ilitakiwa wale mkono hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waninafsi sana ya kila mmoja kutaka kufungaWanakera sana,Makolo ilitakiwa wale mkono hapa
Nilisema ni wakawaida sana hawa.Hawa Wasenge Wanafungika Kirahisi Ila Wachezaji wa Simba Ni Kama Wana Funzaa
Azpilicueta leo kakaa benchi kwenye fainalAmevaa kitambaa Cha unahodha
Leo kawa wa hovyo!Bocco ni mchezaji asiye na faida kwa sasa na Pablo ni miongoni mwa makocha wa hovyo kuwahi kuifundisha Simba
Aliingia then akaumiaAzpilicueta leo kakaa benchi kwenye fainal
Mkishinda, lugha inabadilika.Hii timu inahitaji maboresho kwa asilimia 80, wachezaji wengi itabidi waende imetosha sasa,tukubali msimu huu hatujasajili vizuri,bocco,nyoni,kanoute,kagere,mugalu,Wawa hawa wangetupisha muhimu kuwashukuru kwa mchango wao ktk timu
Kabisa asee. Haya mazoezi ya kujionyesha nje ya nchi hayana maana yoyote. Wachezaji hawana bidii wala kujituma, wanashindwa hata kutuliza au kufanya makadirio. Sijui kocha huwa anafundisha nini. Hovyo sana.Hawa Wasenge Wanafungika Kirahisi Ila Wachezaji wa Simba Ni Kama Wana Funzaa
Approach ya kocha kipindi cha Kwanza ilikua hovyo kabisaaaa... Leo tumepoteza sio kwakuwa berkane ni wazuri sana kuzidi Simba lakini approach mbovu ya kocha kutaka kupaki bus tangu dk ya 1Hii timu inahitaji maboresho kwa asilimia 80, wachezaji wengi itabidi waende imetosha sasa,tukubali msimu huu hatujasajili vizuri,bocco,nyoni,kanoute,kagere,mugalu,Wawa hawa wangetupisha muhimu kuwashukuru kwa mchango wao ktk timu