RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

Hii timu inahitaji maboresho kwa asilimia 80, wachezaji wengi itabidi waende imetosha sasa,tukubali msimu huu hatujasajili vizuri,bocco,nyoni,kanoute,kagere,mugalu,Wawa hawa wangetupisha muhimu kuwashukuru kwa mchango wao ktk timu
 
Hawa Wasenge Wanafungika Kirahisi Ila Wachezaji wa Simba Ni Kama Wana Funzaa
Kabisa asee. Haya mazoezi ya kujionyesha nje ya nchi hayana maana yoyote. Wachezaji hawana bidii wala kujituma, wanashindwa hata kutuliza au kufanya makadirio. Sijui kocha huwa anafundisha nini. Hovyo sana.
 
[emoji881][emoji881]
IMG_20220227_233918.jpg
 
MO tafuta viongo wawili wenye nguvu...PABLO fundisho soka la pasi za haraka na mikimbio kama anavyofanya kocha NABI...
Sakho , Morrison , wana mikibimbio lakini simba inakosa viongo wenye ku transform mchezo kwa haraka kasi..

.Konoute hana macho ya haraka...MKUDE ni mzuiiaji slow...., Nyoni je anaweza kukimba...?.
Boko, Mzamiru hawanaga skills sana....ila wakipania kibongo bongo...

Simba fanyeni tactical transformation....kubalini mawazo mapya...
 
Hii timu inahitaji maboresho kwa asilimia 80, wachezaji wengi itabidi waende imetosha sasa,tukubali msimu huu hatujasajili vizuri,bocco,nyoni,kanoute,kagere,mugalu,Wawa hawa wangetupisha muhimu kuwashukuru kwa mchango wao ktk timu
Approach ya kocha kipindi cha Kwanza ilikua hovyo kabisaaaa... Leo tumepoteza sio kwakuwa berkane ni wazuri sana kuzidi Simba lakini approach mbovu ya kocha kutaka kupaki bus tangu dk ya 1
 
Back
Top Bottom