RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

Kisinda kawa bora kuliko alivyokuwa yanga
 
Approach ya kocha kipindi cha Kwanza ilikua hovyo kabisaaaa... Leo tumepoteza sio kwakuwa berkane ni wazuri sana kuzidi Simba lakini approach mbovu ya kocha kutaka kupaki bus tangu dk ya 1
Kwa game za away bado nitamkumbuka Didier gomez da rosa,tulipoteza dhidi ya ahly away lakini timu ilicheza.
 
Dk ya 88 ni kona juu ya kona na mabadiliko, matokeo 2 sifuri
 
Bahati mbaaya sana...Mkude,Mzamiru,Engeneer,Balya kikosekana kumeeleta shida sana!
 
Hii timu si nzuri sana ila simba wameamua tu kuwa utopolo

Simba kama ni wazuri wafunge basi.

Timu lina short target 0 utaicompare na Berkane yenye 5!!

Total shots
19-_____2 🤣
 
Back
Top Bottom