Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujawahi kueleweka hata kidogo kwa msimu wote huu. Kwa kifupi Simba haipo vizuri ina uchezaji wa kimatukio zaidiMkishinda, lugha inabadilika.
Kwa game za away bado nitamkumbuka Didier gomez da rosa,tulipoteza dhidi ya ahly away lakini timu ilicheza.Approach ya kocha kipindi cha Kwanza ilikua hovyo kabisaaaa... Leo tumepoteza sio kwakuwa berkane ni wazuri sana kuzidi Simba lakini approach mbovu ya kocha kutaka kupaki bus tangu dk ya 1
Una roho ngumu sanaUsijari mechi bado haijaisha
Msimamo wangu bado ni ule ule Hatufungwi hii
YapMkuu nawewe unaangalia mechi ninayoangalia mm?
Nyingi sana hizi kwa hapa tulipofikiaDakika 3 zimeongezwa
Sio tukishinda, msimu huu kwa Simba hatujabadili kauli,tangu msimu unaanza tuliuona muelekeo wa timuMkishinda, lugha inabadilika.
Hii timu si nzuri sana ila simba wameamua tu kuwa utopolo
Kocha na benchi la ufundi wanaumwa hawa. Hawawezi hata kusoma game inavyoenda otherwise Nyoni, Bocco na kanoute wangekuwa nje zamani tuErasto anapiga pasi mkaaa