RT-Russia , ingefaa sana isingefungiwa ili tujue kinachoendea huko Urusi

RT-Russia , ingefaa sana isingefungiwa ili tujue kinachoendea huko Urusi

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Yeah ni kweli vita ni pande mbili , jambo zuri internet inaonyesha vitu vingi vinavyo tokea ukraine na reactions za wa ukraine ,maana nimeona mpaka Walimu, Madaktari, Mainjinia wa Ukraine wamejiunga na jeshi na wana being trained to be solders.

Heko heko ni kwamba , ingekuwa ni vyema DUNIA NZIMA TUNGEKUWA TUNAONA YANAYOTOKEA NDANI NDANI YA NCHI YA URUSI NDANI NDANI HUKO, REACTIONS SANA SANA YA WANANCHI WA URUSI KATIKA VITA HII ILI KUONA MITAZAMO YAO MAANA NASIKIA WANA PIKWA PROPAGANDA KAMA ZILE ZA KIPINDI CHA HITLER ASEEEE KUWA UKRAINE ITAIVAMIA RUSSIA BAADAE, NA PROPAGANDA NYINGINE.

SO MY POINT NI HII , INGEKUWA VYEMA SISI WANA DUNIA TUKAONA YANAYOENDELA NDANI YA URUSI

MAANA YOUTUBE , UKIINGIA UNAONA TU READINESS YA WA UKRAINE KATIKA KUILINDA NCHI YAO

SO WHAT IS THERE AT RUSSIA INSIDE?
 
Wewe sio mfatiliaji wa mambo ila unajikuta unafatilia mambo, RT ipo active 24/7 telegram.. kuna hadi Sputnik sasa YouTube huko nitapatikana vipi.?
 
Mkuu ebu lala upumzishe akili from stress and chuki, ulichokiandika ni pumba na ushabiki maandazi tu, kama nikuhusu propaganda hao west na marekani ndio wanaongoza kuwalisha watu wao
 
Russia kila kitu kimedhibitiwa ni marufuku kulalamika,wanasayansi waliomtapeli Putin kuwa hypersonic misile walizotengeneza haziwezi kudunduliwa wako ndani baada ya kuona zinashushwa kirahisi sana na patriot ADs
 
jambo zuri internet inaonyesha vitu vingi vinavyo tokea ukraine na reactions za wa ukraine
Kwa nilivyosoma jana Ukrain sio ruhusa mwananchi kurekodi tukio lolote. Ikitokea atakamatwa na kupewa kesi. Ukrain video zake wanatoa ki propaganda tu(serikali yenyewe)
 
Weka link ya telegram link kiongozi
Wewe sio mfatiliaji wa mambo ila unajikuta unafatilia mambo, RT ipo active 24/7 telegram.. kuna hadi Sputnik sasa YouTube huko nitapatikana vipi.?
 
Ngoja nikaone propaganda za kirusi zidi ya wanaowaita WANAZI
 
Hii hapo account wa Wagner telegram
 
Yeah ni kweli vita ni pande mbili , jambo zuri internet inaonyesha vitu vingi vinavyo tokea ukraine na reactions za wa ukraine ,maana nimeona mpaka walimu , madaktari , ma injinia wa ukraine wamejiunga na jeshi na wana being trained to be solders....

Heko heko ni kwamba , ingekuwa ni vyema DUNIA NZIMA TUNGEKUWA TUNAONA YANAYOTOKEA NDANI NDANI YA NCHI YA URUSI NDANI NDANI HUKO , REACTIONS SANA SANA YA WANANCHI WA URUSI KATIKA VITA HII ILI KUONA MITAZAMO YAO MAANA NASIKIA WANA PIKWA PROPAGANDA KAMA ZILE ZA KIPINDI CHA HITLER ASEEEE KUWA UKRAINE ITAIVAMIA RUSSIA BAADAE. , NA PROPAGANDA NYINGINE

SO MY POINT NI HII , INGEKUWA VYEMA SISI WANA DUNIA TUKAONA YANAYOENDELA NDANI YA URUSI

MAANA YOUTUBE , UKIINGIA UNAONA TU READINESS YA WA UKRAINE KATIKA KUILINDA NCHI YAO

SO WHAT IS THERE AT RUSSIA INSIDE ??
Shule mnafunga lini?
 
Kwa nilivyosoma jana Ukrain sio ruhusa mwananchi kurekodi tukio lolote. Ikitokea atakamatwa na kupewa kesi. Ukrain video zake wanatoa ki propaganda tu(serikali yenyewe)
Acha kupotosha!!hayo mashirika ya tv ya kimataifa yanayo onyesha live kile kinachotokea UKRAINE kila siku mbona hayafungiwi?
 
Back
Top Bottom