Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
Mwitongo na Lupaso walikuwa bahati mbaya kwa kufuata mtazamo wako wewe.Wokovu unaanzia samaria mpaka mwisho wa nchi
Tochi humulika kuanzia miguuni kwako baada ndio unamulika kwingine
Kuwa mwelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwitongo na Lupaso walikuwa bahati mbaya kwa kufuata mtazamo wako wewe.Wokovu unaanzia samaria mpaka mwisho wa nchi
Tochi humulika kuanzia miguuni kwako baada ndio unamulika kwingine
Kuwa mwelewa
Mwitongo kunatia huruma,mwalimu angepaangalia kwaoMwitongo na Lupaso walikuwa bahati mbaya kwa kufuata mtazamo wako wewe.
Kuna mgodi umefumuka huko[emoji848]Acha apaendeleze tu
Kusini kulilala sana
Tena sahv lindi kunanihusu
Gairo bye bye .....
Mashambulizi nmeyahamishia lindi
Ova
Kweli kabisa bwashee, baada ya devolution sasa hivi Pokot karibu inaizidi Nairobi kwa maendeleo!Haya ndiyo yalipelekea Kenya kufanya devolution. Nahisi na sisi tunahitaji devolution.
Waziri Mkuu Mwakyembe?Wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015 , sisi Watu wa Kyela tuliokuwa tunampinga Mwakyembe (Aliyetajwa kama PM ajaye) Tulishambuliwa vibaya mno.
Binafsi nimefuatwa inbox na zaidi ya watu10 ili nisimpinge Mwakyembe maana akiwa Waziri Mkuu Kyela yetu ingekuwa Paradiso , Hata hivyo Mwakyembe alipewa ushindi wa mabavu na alipokosa U PM Kyela yote iliripuka kwa furaha (sijui kwanini) .
Nadhani haya ya Ruangwa ndio niliyokuwa naambiwa inbox na wadau .
Yupo anaringia digrii zake 4Waziri Mkuu Mwakyembe?
Mungu atuhurumie.
Hivi bado yupo na ni mbunge? Mbona hasiskiki kabisa.
Kweli dunia ina mambo. Enzi zile Mwakembe alikuwa hakosekani kwenye habari za nchi. Hebu ona sasa!
Sumaye labda .....Arusha Mamvi.....Kilimanjaro MsuyaWaziri mkuu gani aliwahi kutokea mkoa wa Manyara?
Mara nyingi mno anakuwa yupo Ruangwa, nilifikiri ofisi ya PM imehamishiwa huko!Waziri Mkuu Majaliwa hana tofauti kubwa na marehemu Magufuli kila mara yuko nyumbani kwao Ruangwa na ni kupeleka miradi kila baada ya miezi kadhaa.
Hajui yeye ni Waziri Mkuu wa nchi nzima? Leo ametoa mikopo Milioni 256, hii hela ni nyingi sana kwa wilaya moja.
Bado nradi wa maji sijui nafikiri Bilioni 500. Kwanini haya mambo ya upendeleo na ubaguzi yameanza wakati wa Magufuli?
Nchi hii haikuwa na mawaziri wakuu kabla? Haya ni matumizi mabaya ya nafasi.
Lini atatembelea wilaya zingine na kupelekea neema ya miradi inayofanana na ambayo amekuwa akiipeleka Ruangwa kila mara?
Amesahau yeye ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Atumikie watanzania wote kwa usawa.
Nenda Kiabakari mkuuMkuu acha tu wajenge kwao,nipo Butiama jioni hii,nimetoka kumuagiza boda maziwa mtindi boda kaniambia huwezi kupata,nimeenda mwenyewe kutafuta,Hakuna duka linalouza mtindi butiama.Naongelea maziwa mtindi guys,Butiama inasikitisha sana.Acha viongozi wajenge kwao.
Anenda kama Mbunge wa Ruangwa kwa kuwa ili uwe PM lazima uwe mbunge, asipokwenda wengine watahoji tena zile gharama za mafuta na huduma zingine anazolipiwa na serikali achilia mbali za Uwaziri Mkuu anazipeleka wapi na jimboni haendi.....nimewaza tu kwa sauti ila kwa angle ngingineMara nyingi mno anakuwa yupo Ruangwa, nilifikiri ofisi ya PM imehamishiwa huko!
Milioni 256 ni nyingi ukilinganisha na wapi, je kama hizo 256 million ni asilimia 10 ya makusanyo ya ndani kwa ajiri ya wajasiamali? Maana kila halmashauri ina kiwango chache kulingana na makusanyoWaziri Mkuu Majaliwa hana tofauti kubwa na marehemu Magufuli kila mara yuko nyumbani kwao Ruangwa na ni kupeleka miradi kila baada ya miezi kadhaa.
Hajui yeye ni Waziri Mkuu wa nchi nzima? Leo ametoa mikopo Milioni 256, hii hela ni nyingi sana kwa wilaya moja.
Bado nradi wa maji sijui nafikiri Bilioni 500. Kwanini haya mambo ya upendeleo na ubaguzi yameanza wakati wa Magufuli?
Nchi hii haikuwa na mawaziri wakuu kabla? Haya ni matumizi mabaya ya nafasi.
Lini atatembelea wilaya zingine na kupelekea neema ya miradi inayofanana na ambayo amekuwa akiipeleka Ruangwa kila mara?
Amesahau yeye ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Atumikie watanzania wote kwa usawa.
Kwa hiyo kwa nafasi yake ya uwaziri mkuu anatakiwa kupiga kambi jimboni kwake na siyo kutembelea wilaya zote nchini?!!!asipokwenda wengine watahoji tena zile gharama za mafuta na huduma zingine anazolipiwa na serikali achilia mbali za Uwaziri Mkuu anazipeleka wapi na jimboni haendi.