TANZIA Rubani aliyetorosha ndege baada ya kuvunjika EAC, Captain Narzis Mapunda afariki dunia

TANZIA Rubani aliyetorosha ndege baada ya kuvunjika EAC, Captain Narzis Mapunda afariki dunia

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Director of Ops mstaafu wa Air Tanzania Captain, Narzis Mapunda jana asubuhi tarehe 23/05/2021. RIP Capt. Mapunda.

=====

Mwaka 2019 Kapteni Mapunda ambae ni rubani mstaafu alitunukiwa tuzo na Rais Magufuli kwa uzalendo wa kutorosha ndege ya Tanzania baada ya kuvunjika iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Pia, Soma=> Rubani Kapteni Mapunda aliyetunukiwa na Rais Magufuli afunguka

ATC.jpg
 
Rest in Peace Jemedari

Serikali ilishasahau watu kama hawa
Shida ni hatuna Serikali, ila tuna makundi ya watu ambao huingia Uongozini na mawazo na mitazamo yao na muda ukifika wanapisha wengine na mawazo na mitazamo yao..

Kama Taifa hatuna Dira wala mwelekeo wowote, tunaishi Kwa Utashi wa Mtu aliye Rais wakati huo..
 
Mbona kama nakumbuka Captain Mapunda alishafariki miaka minne hivi na tukamzika pale makaburi ya kinondoni?Una hakika Mapunda huyu ndiyo yule?
Mapunda walikuwa wawili,wote walikuwa marubani wa Atcl,zamani tulikuwa tunawaita Mapunda mdogo na Mapunda mkubwa....R.I.P Capiteeeni.
 
Back
Top Bottom