LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
serikali iko bize na kazi ziendeleeeRest in Peace Jemedari
Serikali ilishasahau watu kama hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
serikali iko bize na kazi ziendeleeeRest in Peace Jemedari
Serikali ilishasahau watu kama hawa
😂Alikulupuka......shit
Siye? Si alitajwa na Mwendazake kuwa alitoroka na ndege toka Mombasa hadi Tanga bila kuongozwa na rada, akazawadiwa kama sijakosea Mil 5 au 10 pale airport na alitajwa kwa jina la Mapunda, akaulizwa mkewe yu wapi akasema ninaye hapa...,Kwanini unadhani wakati ndiyo Yeye tu?
I think ndio story ilielezea hivyo. Alifanya requests akiwa angani na alifanya kitu wanaita divertion, wakati wote ndege huwekwa mafuta ya ziada kuweza kufika uwanja mwingine ulio karibu na aliopanga kwenda awali. Ndio wanadai akaelikea Tanga badala ya MombasaOk nimekuelewa ila kuna swali la nyongeza, ndege labda inatakiwa fuel na pilot atapita security area maana ziko ground service lazima ndege ipitie ipate clear sasa swali mtu anaweza kupita process zote hizo bila kuulizwa unaenda wapi labda kama alikuwa angani taarifa hizo zikaja akachukuwa maneuver juu kwa juu hapo ina make sense.