TANZIA Rubani aliyetorosha ndege baada ya kuvunjika EAC, Captain Narzis Mapunda afariki dunia

TANZIA Rubani aliyetorosha ndege baada ya kuvunjika EAC, Captain Narzis Mapunda afariki dunia

Unaibaje kilicho kuwa chako?
Kwa kuwa waKenya walikuwa na njama ya kujimilikisha mali zote za iliyokuwa jumuiya ya afrika ya mashariki. Wao ndio waliopanga kuivunja na wakaweka huo mkakati kuwa ndege zote zitakuwa Kenya wakati wa uvunjaji wa jumuiya. Ni bahati hiyo moja ililetwa kwa kuwa nyingine ziliishia Kenya.
 
Director of Ops mstaafu wa Air Tanzania Captain, Narzis Mapunda jana asubuhi tarehe 23/05/2021. RIP Capt. Mapunda...

Yet another tanzia.

Apumzike kwa amani mja huyu wa mola.

Wazee hawa walimhitaji sana yule chanjo.
 
Kwa kuwa waKenya walikuwa na njama ya kujimilikisha mali zote za iliyokuwa jumuiya ya afrika ya mashariki. Wao ndio waliopanga kuivunja na wakaweka huo mkakati kuwa ndege zote zitakuwa Kenya wakati wa uvunjaji wa jumuiya. Ni bahati hiyo moja ililetwa kwa kuwa nyingine ziliishia Kenya.
Sijui huwa tunafeli wapi..kwa wakenya..
 
Hivi wastaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki walipata haki zao. Aisee serikali ya Tanzania iliwaangaisha sana kupata stahiki zao tofauti na wa wastaafu jumuiya kenya na Uganda.
 
Mbona kama nakumbuka Captain Mapunda alishafariki miaka minne hivi na tukamzika pale makaburi ya kinondoni?Una hakika Mapunda huyu ndiyo yule?
Umesema kweli. Ninavyojua Mimi aliyeitorosha ile ndege ni Mangi mmoja na keshafariki. Zimbabwe Airways walimwajiri then umri uliposonga aliamua kustaafu.
Uzushi ni mwingi kwenye hiyo issue!
 
Halafu Leo kuna mtu akinyanyasa watu anajiita mzalendo,huyo ndio mfano wa kuigwa kama mzalendo sio akina Sabaya
 
Umesema kweli. Ninavyojua Mimi aliyeitorosha ile ndege ni Mangi mmoja na keshafariki. Zimbabwe Airways walimwajiri then umri uliposonga aliamua kustaafu.
Uzushi ni mwingi kwenye hiyo issue!
Kawaida ndege hurushwa ma marubani wawili, kamanda na msaidizi. Mapunda ndiyo alikuwa kamanda kwenye hilo, mwingine msaidizi.
 
Apumzike kwa amani huyo shujaa wetu!
 
Back
Top Bottom