Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni huyu huyu nakumbuka alipewa 15M na aliyekuwa rais mgawa pesa za umma kama njugu.Mbona kama nakumbuka Captain Mapunda alishafariki miaka minne hivi na tukamzika pale makaburi ya kinondoni?Una hakika Mapunda huyu ndiyo yule?
Kwa kuwa waKenya walikuwa na njama ya kujimilikisha mali zote za iliyokuwa jumuiya ya afrika ya mashariki. Wao ndio waliopanga kuivunja na wakaweka huo mkakati kuwa ndege zote zitakuwa Kenya wakati wa uvunjaji wa jumuiya. Ni bahati hiyo moja ililetwa kwa kuwa nyingine ziliishia Kenya.Unaibaje kilicho kuwa chako?
Mgawa pesa za umma alikuwa anagawa kwa akina nani mbona mimi hakunigawaia?Ni huyu huyu nakumbuka alipewa 15M na aliyekuwa rais mgawa pesa za umma kama njugu.
Director of Ops mstaafu wa Air Tanzania Captain, Narzis Mapunda jana asubuhi tarehe 23/05/2021. RIP Capt. Mapunda...
Ile ilikuwa kuambulia chochote kilicho upande wako. 🤣Kutorosha au kuiba ndege kutoka kwenye Jumuiya
Sijui huwa tunafeli wapi..kwa wakenya..Kwa kuwa waKenya walikuwa na njama ya kujimilikisha mali zote za iliyokuwa jumuiya ya afrika ya mashariki. Wao ndio waliopanga kuivunja na wakaweka huo mkakati kuwa ndege zote zitakuwa Kenya wakati wa uvunjaji wa jumuiya. Ni bahati hiyo moja ililetwa kwa kuwa nyingine ziliishia Kenya.
Daah,ngoja nikae kimyaa.Ni huyu huyu nakumbuka alipewa 15M na aliyekuwa rais mgawa pesa za umma kama njugu.
Umesema kweli. Ninavyojua Mimi aliyeitorosha ile ndege ni Mangi mmoja na keshafariki. Zimbabwe Airways walimwajiri then umri uliposonga aliamua kustaafu.Mbona kama nakumbuka Captain Mapunda alishafariki miaka minne hivi na tukamzika pale makaburi ya kinondoni?Una hakika Mapunda huyu ndiyo yule?
Kawaida ndege hurushwa ma marubani wawili, kamanda na msaidizi. Mapunda ndiyo alikuwa kamanda kwenye hilo, mwingine msaidizi.Umesema kweli. Ninavyojua Mimi aliyeitorosha ile ndege ni Mangi mmoja na keshafariki. Zimbabwe Airways walimwajiri then umri uliposonga aliamua kustaafu.
Uzushi ni mwingi kwenye hiyo issue!
Sentensi haijakaa sawa hiiCaptain, Narzis Mapunda jana asubuhi tarehe 23/05/2021. RIP Capt. Mapunda.