Aliyapora Manyang'au ya Kenya kwa manufaa ya Nchi yake.Kutorosha au kuiba ndege kutoka kwenye Jumuiya
Ulikuwa hujazaliwa kwahio hujui kilichotokea.Kutorosha au kuiba ndege kutoka kwenye Jumuiya
Umeongea kizalendo sana. Watu kama ninyi mnastahili teuzi kutoka kwa sshAliyapora Manyang'au ya Kenya kwa manufaa ya Nchi yake.
Shida ni hatuna Serikali, ila tuna makundi ya watu ambao huingia Uongozini na mawazo na mitazamo yao na muda ukifika wanapisha wengine na mawazo na mitazamo yao..Rest in Peace Jemedari
Serikali ilishasahau watu kama hawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kutorosha au kuiba ndege kutoka kwenye Jumuiya
Ndege za miaka iyo zilikuwa zinapendeza ukilinganisha za sasa hivi.Director of Ops mstaafu wa Air Tanzania Captain, Narzis Mapunda jana asubuhi tarehe 23/05/2021. RIP Capt. Mapunda...
Mkuu labda ulizika mgombaMbona kama nakumbuka Captain Mapunda alishafariki miaka minne hivi na tukamzika pale makaburi ya kinondoni?Una hakika Mapunda huyu ndiyo yule?
Alikulupuka mleta post.Picha hii siyo mahali pake, ile ndege ilikuwa ya East African Airways (EAA), hapakuwepo Air Tanzania wakati huo.
View attachment 1796087
Mapunda walikuwa wawili,wote walikuwa marubani wa Atcl,zamani tulikuwa tunawaita Mapunda mdogo na Mapunda mkubwa....R.I.P Capiteeeni.Mbona kama nakumbuka Captain Mapunda alishafariki miaka minne hivi na tukamzika pale makaburi ya kinondoni?Una hakika Mapunda huyu ndiyo yule?
Unaibaje kilicho kuwa chako?Kutorosha au kuiba ndege kutoka kwenye Jumuiya